Music Video

Paul Clement - Amefanya Mungu ( Official Video ) SMS SKiza 9841777 to 811
Watch Paul Clement - Amefanya Mungu ( Official Video )    SMS SKiza 9841777 to 811 on YouTube

Featured In

Credits

COMPOSITION & LYRICS
PAUL CLEMENT
PAUL CLEMENT
Songwriter

Lyrics

DG
Je ni nani angeweza
Kututoa chini mavumbini
Maana kila mtu alitukataa
Ila Mungu akatukumbatia
Je ni nani angeweza
Kutuiua kutuweka juu
Maana kila mtu alitukataa
Ila Mungu akatuinua
Je ni nani angeweza
Kutupatia nafasi
Maana kila mtu alikataa
Ila Mungu akatupatia
Hakuangalia elimu zetu
Hakuangalia mionekano yetu
Aliangalia mioyo yetu
Kwake tukapata kibali
Amefanya Mungu amefanya (eh-eh-eh)
Amefanya Mungu amefanya (eh-eh-eh)
Haikuwa rahisi kwa akili zetu (rahisi)
Amefanya Mungu amefanya (eh-eh-eh-eh-eh)
Amefanya Mungu amefanya (eh-eh-eh)
Amefanya Mungu amefanya (eh-eh-eh)
Haikuwa rahisi kwa akili zetu (rahisi)
Amefanya Mungu amefanya (eh-eh-eh-eh-eh)
Je ni nani angeweza
Kutukubali jinsi tulivyo
Maana kila mtu alitukataa
Ila Mungu akatukubali
Si elimu zetu
Si ujuzi wetu
Ila neema yake 'metuweka hapa
Haikuwa rahisi
Eh, vile namna neema yako inafanya
Hakuna elimu inaweza fanya
Hata kama ikishindana (hata kama ikishindana)
Hata kama ikipambana (hata kama ikipambana)
Neema yako itashinda
Hakuangalia elimu zetu
Hakuangalia mionekano yetu
Aliangalia mioyo yetu
Kwake tukapata kibali
Amefanya, oh yeah (amefanya Mungu amefanya)
Amefanya, Mungu amefanya (amefanya Mungu amefanya)
Haikuwa rahisi, rahisi(haikuwa rahisi kwa akili zetu)
Amefanya Mungu (amefanya Mungu amefanya)
Amefanya (amefanya Mungu amefanya)
Ni yeye tu (amefanya Mungu amefanya)
Si mwanadamu, si mwanadamu (haikuwa rahisi kwa akili zetu)
Amefanya Mungu (amefanya Mungu amefanya)
Haikuwa rahisi oh-oh-oh-oh-oh (haikuwa rahisi kwa akili zetu)
Amefanya Mungu (amefanya Mungu amefanya)
Haikuwa rahisi eh-eh-eh oh-oh-oh (haikuwa rahisi kwa akili zetu)
Mungu amefanya (amefanya Mungu amefanya)
Mh-mh
Oh na-na
Oh la-la
Le-la
Ne-na
Written by: PAUL CLEMENT
instagramSharePathic_arrow_out