Top Songs By Goodluck Gozbert
Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
Goodluck Gozbert
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Goodluck Gozbert
Songwriter
Lyrics
Uzuri ni kwamba Mungu hapokei rushwa
Uzuri ni kwamba Mungu hapokei rushwa
Angepewa mamilioni tungetupwa mbali sana
Angepewa mamilioni tungetupwa mbali sana
Uzuri ni kwamba Mungu hapokei rushwa
Uzuri ni kwamba Mungu hapokei rushwa
Angepewa mamilioni tungetupwa mbali sana
Angepewa mamilioni tungetupwa mbali sana
Na wengine tuna damu mbaya, mabifu kama yote
Mtu hujamkosea, anatamani ufe
Wengine bwana we, tulipewaga sura
Mtu akikukuona, akalinganisha hufanani
Wewe unadhani angepewa oxygene
Yangu angeminya, angeminya nifie mbali
Wewe unadhani angepewa kesho yako wee
Kwanza angefinya, angefinya ufie mbali
Ila mungu wee, hajui kukosea
Ametupa thamani, tulioitwa vikaragosi
Ila mungu wee, mwingi wa huruma
Ametupa vicheko, vicheko bila manoti
Uzuri ni kwamba Mungu hapokei rushwa
Uzuri ni kwamba Mungu hapokei rushwa
Angepewa mamilioni tungetupwa mbali sana
Angepewa mamilioni tungetupwa mbali sana
Mfano jitu lipate kama za Laiza, lingetuchakaza vibaya
Au lipate kama za Dangote, lipewe kuamua kesho yako eeh
Wengine, baba zetu walala hoi
Wengine, mama zetu hohehahe
Wengine, familia zetu choka mbaya
Wengine, ndio kabisa mayatima
Hakuna anayetujua wala hatuna connection
Kusema sababu ni elimu mbona, wasomi kibao ni jobless
Tumewekwa mahali kwa neema ya Mungu
Tunavuka mapito kwa neema ya Mungu
Huyu Mungu wee, hajui kukosea
Ametupa thamani, tulioitwa vikaragosi
Ila mungu wee, mwingi wa huruma
Ametupa vicheko, vicheko bila manoti
Uzuri ni kwamba Mungu hapokei rushwa
Uzuri ni kwamba Mungu hapokei rushwa
Angepewa mamilioni tungetupwa mbali sana
Angepewa mamilioni tungetupwa mbali sana
Written by: Goodluck Gozbert