Top Songs By Mathias Walichupa
Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
Mathias Walichupa
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Mathias Walichupa
Songwriter
Lyrics
[Verse 1]
Hizi ni sifa za moyo wangu
Nazileta kwako wee Mungu
Nakuomba Elohim
We zipokee
Hizi ni sifa za moyo wangu
Nazileta kwako wee Mungu
Nakuomba Elohim
We zipokee
[Verse 2]
Ulikonitoa Bwana wangu
Ni mbali sanaa
Ni mbali sanaa
Sikudhaniwaa
Na ulinichagua mimi Bwana
Na udhaifu waangu
Ulinipenda mimi
Pasi na sababu
[Verse 3]
Sasa narudisha sifa Bwana
Narudisha sifa Bwana
Na heshima uzipokee
Tena nanyenyekea kwako wee
Nanyenyekea kwako wee
Yesu mwokozi
Wa maisha yangu
[Chorus]
(Oh narudisha) Narudisha sifa Bwana
(Narudisha) Narudisha sifa Bwana
(Za moyo wangu) Naheshima uzipokee
(Haleluyah oh Bwana nashuka) Tena nanyenyekea kwako wee
(Oh Bwana) Nanyenyekea kwako weee (Kwako Ebenezer)
Yesu mwokozi (Yesu mwokozi ) wa maisha yangu Bwana
[Bridge]
Woo, woo woo
Woo, woo woo
Haleluyah, halleluya
[Outro]
Kwa shangwe nazileta kwa shangwe
Kwa shangwe nazileta kwa shangwe
Sifa za moyo wangu
Bwana zipokee
Written by: Mathias Walichupa