Top Songs By Angel Benard
Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
Angel Benard
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Angel Benard
Songwriter
Lyrics
[Intro]
Ooh, ooh, ooh
Ooh, ooh, ooh
[Chorus]
It's a new day
It's a new day
[Verse 1]
Jana umenifunza mengii
Nakushukuru
Nakuaga Leo bye, bye, bye,, bye bye
Jana umekwenda na hurudii
Masomo yako nimeandika moyonii
Nasema bye, bye, bye, bye, bye, bye
[Verse 2]
Nilipanda, nikavuna
Nilipata, nikakosa
Nililia, nikacheka
Sina majuto ndani yangu
Nilipanda, nikavuna
Nilipata, nikakosa
Nililia, nikacheka
Sina majuto ndani yangu
[Chorus]
It's a new day
It's a new day
It's a new day
It's a new day
[Verse 3]
Macho yangu yametiwa nuru
Miguu yangu imetiwa nguvu
Imani angu imeongezeka
Naona mema mbele yangu
[Verse 4]
Ufahamu wangu umeponywa
Sina mashaka na wakati
Nimejifunza maisha yote
Sikwami tena nilipokwama nyuma
[Chorus]
It's a new day
It's a new day
It's a new day
It's a new day
[Verse 5]
Nilipanda, nikavuna
Nilipata, nikakosa
Nililia, nikacheka
Sina majuto ndani yangu
Nilipanda, nikavuna
Nilipata, nikakosa
Nililia, nikacheka
Sina majuto ndani yangu
[Chorus]
It's a new day
It's a new day
It's a new day
It's a new day
Written by: Angel Benard