Music Video

Featured In

Lyrics

Nana naana
Nana-nana naana
Nana naana
Nana naa
Zinanitoka goose bumps
Nikisikia jina lako
Mi ninaweukaa
Kabisa mi ni chizi wako
Na kama ni mganga eh
Mzuri huyo mganga wako
Sio kwa kunipumbaza huku
Baby, mmhh
Mamy ongeza ubuyu
Nizidi kuumumunya eh
Tena na sukari guru
Utamu nikitafuna eh
Baby ongeza ubuyu
Nizidi kuumumunya eh
Tena na sukari guru
Utamu nikitafuna eeh, mhmh
Kama ni pili pili maa
Na-na-na-na
Acha ukali niusikie
Na-na-na-na-naa
Kama nivita mamaa
Na-na-na-na
Acha adui wanivamie
Naa-na-naa
Kama we ni asali maa
Na-na-na-na
Acha na nyuki wanivamie
Na-na-na-na-na-na
Lakini penzi lako baby
Na-na-na-na
Ata kidogo lisipungue
Na-na-na-na
No-no noo
Zaidi, zaidi, zaidi, zaidii (Mhmhh)
Nipe-nipe
Zaidi, zaidi, zaidii (Mhmhh)
Wewe zaidi, zaidii (Zaidii)
Wewe nipe zaidi-zaidi (Zaidii)
Nanyosha mikoni juu
Kwako mi nimesurrender
Naona maajabu
Sungura kazidiwa ujanja
Nimekuwa zuzu-zuzu zuuu
Nimekuwa bubu-bubu-bu
Nimekuwa mbu-mbu-mbu baby eh
Nimekuwa zaidi ya nyumbu
Sioni sisikii, aah
Sioni sisikii baby
Kama ni pili pili maa
Na-na-na-na
Acha ukali niusikie
Na-na-na-na-naa
Kama nivita mamaa
Na-na-na-na
Acha adui wanivamie
Na-na-naa
Kama we ni asali maa
Na-na-na-na
Acha na nyuki wanivamie
Na-na-na-na-naa
Lakini penzi lako baby
Na-na-na-na
Ata kidogo lisipungue
Na-na-naa
No-no noo
Zaidi, zaidi, zaidi, zaidii (Mhmhh)
Nipe-nipe
Zaidi, zaidi, zaidii (Mhmhh)
Wewe zaidi zaidii (Zaidii)
Wewe nipe zaidi-zaidi (Zaidii)
Mamy ongeza ubuyu
Nizidi kuumumunya ee
Tena na sukari guru
Utamu nikitafuna ee
Baby ongeza ubuyu
Nizidi kuumumunya ee
Tena na sukari guru
Utamu nikitafuna ee
Mhmhmh
Written by: Bob Manecky, Juma Mkambala
instagramSharePathic_arrow_out