Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Zuchu
Zuchu
Vocals
D Voice
D Voice
Vocals
COMPOSITION & LYRICS
Abdul Hamisi Mtambo
Abdul Hamisi Mtambo
Songwriter
Zuhura Othman Soud
Zuhura Othman Soud
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Diblo One Touch
Diblo One Touch
Producer

Lyrics

[Verse 1]
Yani mara kumi ungekuwa mbaya alafu ungekuwa na hela
Lakini tatizo lako mbaya alafu hauna hela
Ni mara kumi ungekuwa kijusu alafu ungekuwa na hela
Ila tatizo lako kijuso alafu hauna hela
[Verse 2]
Ah, sa mbona unapata tabu kujichubua
Ntakaona unavosikujibinua
Beb wangu ajadata nachoreka ka hujajua
Ah data na mambo matamu nayo mgeni
Nkwambie wewe
[Chorus]
Kwa uzuri hujanzidi mimii
Kwa utamu hujanzidi shoga yangu
Kwa uzuri hujanzidi mimii
Kwa utamu hujanzidi shoga yangu
[Verse 3]
Na huyo beb wako alikuwa wa kwangu kabla ya kuwa wa kwako
We hauniambii kitu kuhusu yeye
Hata kulala nlilala kwangu kabla ya kulala kwako
Fala hunitishi umbwa wewe
[Verse 4]
Oya weeh, hakuna ulichonizidi cha kunipa stress
We nyota yako ya kuni mie mwenzako ya gesi
Mwenzako gulungu nacho sihuwanga wa kufeki
Maana mwenzangu una rangi nyingi ka combatí ya jeshi
Sa abonna unapata tabu kujichubua
[Verse 5]
Yakoo na unaforce kujiinua
Beb wangu hajadata na chura ka hujajua
Nadata na mambo matamu unayoongea, nikuambiee
[Chorus]
Kwa uzuri hujanzidi mimii
Kwa utamu hujanzidi shoga yangu
Ooh kwa uzuri hujanzidi mimii
Kwa utamu hujanzidi shoga yangu
Haunitishi hunisumbua, hujanzidi mimi
Jiangalie kuvaa hujui, hujanzidi shoga yangu
[Refrain]
Wanangu baado sijaskia shangwe kama umeme umerudi (Wooo)
Masela bado sijaskia shangwe kama umeme umerudi (Woo)
Aii mara tena umekataa (Aah)
Mara tena umerudi (Wuoo)
[Verse 6]
Wewe mara tena umekataa (Aah)
Twende show me gidhi-gidhi, gidhi
Baby gidhi-gidhi, gidhi
Twende gidhi-gidhi, gidhi, gidhi wee
Gidhi-gidhi, gidhi
[Verse 7]
Kwanza muone ampepandwa na ibilisi
Alikaa pembeni hivi sasa ameingia kati
Ona mwili mkubwa kumbe kibonge mwepesi
Kulia kushoto, dunda kama kitenesi
Gidi, gidi, gidi
[Refrain]
Gidhi, gidhi, gidhi
Twende gidhi-gidhi, gidhi, gidhi wee
Gidhi, gidhi, gidhi
[Outro]
Oya we
Kweli goma noma kwani amelipiga nani
Kwanini anafanya wanangu mpaka wanabamba shetani
Kweli goma noma kwani amelipiga nani
Maana wanatoa mashati kwenye miti wanachuma majani
Oya wanachuma majani
Wanaletya majani mama wanachuma majani
Wanaletya majani oyaa
Written by: Abdul Hamisi Mtambo, Zuhura Othman Soud
instagramSharePathic_arrow_out