Featured In
Top Songs By Rayvanny
Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
Rayvanny
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Raymond Shaban Mwakyusa
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
S2Kizzy
Producer
Lyrics
[Verse 1]
Hanaga CV ya kuachika, aliwaacha wote aliokuwa nao before
Mikono yake sio ya kupika, ni kunishika, shika na kunihesabia doo
Kukutetea ametulia, show-show time ona anavyopanda jogoo
Mahali kwao nitatoa na mia, wakitaka ng'ombe nitawaongeza kondoo
[Verse 2]
Una balaa, baby, una balaa
Una malaa, baby, una malaa
Una balaa, baby, una balaa
Hata wakikataa, baby we' ni kifaa, iyoo
[PreChorus]
Utamu nipunguze ama niongeze, baby (Aah, ongeza)
Mahaba nikupe yote ama yanatosha, baby (Aah, baby, ongeza)
Utamu nipunguze, niongeze, baby (Aah, ongeza)
Nikupe ndizi na nini, muhogo, baby (Aah, baby, ongeza)
[Chorus]
Naoa, eh, eh, naoa ye'
Naoa, siwadanganyi, naoa
Naoa, eh, eh, naoa ye'
Naoa hiki chombo, naoa
Naoa, eh, eh, naoa ye'
Naoa, siwadanganyi, naoa
Naoa, eh, eh, naoa ye'
Naoa hiki chombo, naoa
[Verse 3]
Mi' nimemiss penzi internationally
Sio kifisi, fisi mahaba ya Kisomali, oh
Ooh, wajua mimi siwezi kukuacha wewe
Nataka uishi na mimi
Usiniache, nisikuache, oh-oh, please
Ah-ah-ah
[Verse 4]
Nimetandika busati, keti kwenye roho, oh
Kanikogesha marashi, te amo
Kama unakuja, kama una go
We' na malaika, Kurwa na Dotto
Yanayonivuta, mahaba yako
Mama nakuita, uje Kariakoo
[Chorus]
Naoa ye', naoa
Naoa ye', naoa
Ali, naoa, naoa
Naoa ye', naoa
Naoa ye', naoa (Ah)
[Chorus]
Naoa (Naoa yeye) ye', naoa
Ali, naoa, naoa (Oh)
Naoa (Yeye) mi leo naoa eeh
Oh-whoa, oh, oh-oh
Yup!
Ali leo naoa ye', eh-ih
Written by: Raymond Shaban Mwakyusa