Music Video

Mavokali x Jux - Wapo (Official Audio)
Watch Mavokali x Jux - Wapo (Official Audio) on YouTube

Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Mavokali
Mavokali
Performer
Jux
Jux
Performer
PRODUCTION & ENGINEERING
Foxxmadeit
Foxxmadeit
Producer

Lyrics

[Verse 1]
Nishajipa sasa mi stress za nini
Nishajipata nipeni nafasi
Matumizi ya kwangu nyie inawaudhi nini
Kelele za nini jama inawauma nini
[Verse 2]
Wewe una wako, mimi nina wangu
Wivu wa nini, wivu wa nini
Pesa za kwako, mimi nina zangu
Chuki za nini, chuki za nini
[PreChorus]
Kelele, kelele, keleleeh
Wanahoji kwanini, wanahoji kwanini
Kelele, kelele, keleleeh
Wanauliza kwanini, wanahoji kwanini
[Chorus]
Wabaya wapo, wapo, wapo
Wabaya wapo usione awaongei
Wabaya wapo, wapo, wapo
Wabaya wapo usione awaongei
[Verse 3]
Mmh , kuna nyinyi alafu kuna yeye (Baba)
Kuna mimi alafu kuna wewe eeh
Kama yako, yako ipo siku (Utapata)
Now is my time mimi nimejipata
[Verse 4]
Hivi sasa nina trip za Dubai
Na Magoma yana hit everyday
Cha ajabu baba God uwaga akosei simnaona
[Verse 5]
Na nilivyomnyonge wala siongei
Wanaficha kete sipotei
Na hata pande zao uwaga sitokei
Hutoniona mmh mmh
[Chorus]
Wabaya wapo, wapo, wapo
Wabaya wapo usione awaongei
Wabaya wapo, wapo, wapo
Wabaya wapo usione awaon
[Outro]
Kelele kelele keleleeh
Wanahoji kwanini, wanahoji kwanini
Kelele kelele keleleeh
Wanauliza kwanini, wanahoji kwanini
Written by: Benjamin Paul Mwenda
instagramSharePathic_arrow_out