Credits
PERFORMING ARTISTS
Alikiba
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Ally Salehe Kiba
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
O. Righty
Producer
Lyrics
Yeah!
O. Righty
Ah, ah
Ah, ah
Ah, ah
Eh, mama
Yeah, mama
Mwenye sura ya makokoto
Kumpata ni protocol
Kamejawa na madeko
Ah, kana madeko
Ah, kwa kuringa kanaringa
Kana mambo ya kitoto, toto
Mwezenu mi' ndio napenda
Ugonjwa wangu mi' napenda
Kakicheka mi' nalia
Jama kananivutia
Mali yangu ikijaliwa
Mi' nitachanganyikiwa
Kakicheka mi' nalia
Mi' nalia kananivutia
Mali yangu ikijaliwa
Mi' nitachanganyikiwa
(Ah, oh, nana, nana)
Bi mzuri huyu, nampenda huyu, huyu
(Ah, oh, nana, nana)
Mali yake, roho safi, oh-oh
(Ah, oh, nana, nana)
Safi, oh
Bi mzuri huyu, nampenda huyu, huyu
(Ah, oh, nana, nana)
Mali yake, roho safi, oh-oh
Roho safi, oh
(Chibaba)
(Chibaba)
Mm-mm, mm
Akaanza niita chibaba, chibaba, oh, chibaba
Nami namwita chimama, chimama wa mboga saba
Wa moto, oh
Shape, jicho, mpaka shingo
Yaani dah mashallah
Sitaki tena kuwa single, oh-oh
Kakicheka mi' nalia
Jama kananivutia
Mali yangu ikijaliwa
Mi' nitachanganyikiwa
Kakicheka mi' nalia
Mi' nalia kananivutia
Mali yangu ikijaliwa
Mi' nitachanganyikiwa
(Ah, oh, nana, nana)
Bi mzuri huyu, nampenda huyu, huyu
(Ah, oh, nana, nana)
Mali yake, roho safi, oh-oh
(Ah, oh, nana, nana)
Safi, oh
Bi mzuri huyu, nampenda huyu, huyu
(Ah, oh, nana, nana)
Mali yake, roho safi, oh-oh
Roho safi, oh
Yup!
(Ah!)
(Chibaba)
Chibaba
Written by: Ally Salehe Kiba