Music Video

ANDAZI - Lulu Diva Ft Rayvanny, Whozu & Chino Kidd (Official Music Audio)
Watch ANDAZI - Lulu Diva Ft Rayvanny, Whozu & Chino Kidd (Official Music Audio) on YouTube

Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Lulu Diva
Lulu Diva
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Lulu Abbas
Lulu Abbas
Composer

Lyrics

[Verse 1]
Etii eeh nilikua nalia nini
Ooh, nilitesekaga na nini
Eeh (Hivi aliniteka na nini)
Ooh (Alinisumbua na nini?)
[Chorus]
Ex na andazi (Nachagua andazi)
Ex na bia (Nachagua bia)
Ex na andazi (Nachagua andazi)
Ex na bia (Nachagua bia)
[Chorus]
Toka wee, nenda wee niache wee (Byee wee)
Toka wee, nenda wee niache wee (Byee wee)
Toka wee, nenda wee niache wee (Byee wee)
Toka wee, nenda wee niache wee (Byee wee)
[Bridge]
Nakula upepo, nimesahau mateso
Ukimtaja ex, napata kichefchef niondolee mapepo
Nakula upepo, nimesahau mateso
Ukimtaja ex, napata kichefchef niondolee mapepo
[Verse 2]
Sikusikii ex (Nini unasemaa)
Hivi unaongea (Ama una bwekaa)
Sitaki tena stress (Usirudii tena)
Sa ivi najiokotea (Mgodi umetemaa)
[Verse 3]
Dadyy, dadyy kanipa zawadi
Kaninunulia gari kanipa na kadi
Dadyyy daddyy kanipa zawadi
Kaninunulia gari kanipa na kadi
[Chorus]
Ex na andazi (Nachagua andazi)
Ex na bia (Nachagua bia)
Ex na andazi (Nachagua andazi)
Ex na bia (Nachagua bia)
[Chorus]
Toka wee, nenda wee niache wee (Byee wee)
Toka wee, nenda wee niache wee (Byee wee)
Toka wee, nenda wee niache wee (Byee wee)
Toka wee, nenda wee niache wee (Byee wee)
[Bridge]
Etii eeh nilikua nalia nini
Ooh, nilitesekaga na nini
Eeh (Hivi aliniteka na nini)
Ooh (Alinisumbua na nini?)
[Chorus]
Ex na andazi (Nachagua andazi)
Ex na bia (Nachagua bia)
Ex na andazi (Nachagua andazi)
Ex na bia (Nachagua bia)
[Chorus]
Toka wee, nenda wee niache wee (Byee wee)
Toka wee, nenda wee niache wee (Byee wee)
Toka wee, nenda wee niache wee (Byee wee)
Toka wee, nenda wee niache wee (Byee wee)
[Verse 4]
Habari yako usitume tena watu wako
Hiyo block ya whatsp ka hujui hiyo ndio talaka yako
Habari yako usitume tena watu wako
Hiyo block ya whatsp ka hujui hiyo ndio talaka yako
Ushanivuruga vuruga kichwaa, nikikunyima pesa basi ndani vita
Aah aah bila kisaa, hata kurudi tena nafsi inasita
[Chorus]
Ex na andazi (Nachagua andazi)
Ex na bia (Nachagua bia)
Ex na andazi (Nachagua andazi)
Ex na bia (Nachagua bia)
[Chorus]
Toka wee, nenda wee niache wee (Byee wee)
Toka wee, nenda wee niache wee (Byee wee)
Toka wee, nenda wee niache wee (Byee wee)
Toka wee, nenda wee niache wee (Byee wee)
Written by: Lulu Abbas
instagramSharePathic_arrow_out