Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
Ibraah
Performer
Billnass
Performer
Whozu
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Ibrahim Abdallah Nampunga
Songwriter
William Nicholaus Lyimo
Songwriter
Oscar John Lelo
Songwriter
Lyrics
Oya
Zombie Limetoroka Milembe
Woo Wow Oya Wo Wow Oya
Woo Wow Oya Wo Wow
It’s Chingaa
Weeeh
Woo Wow Woo..
S2kizzy Babyy
Wanangu Wa Gucci Gucci Muda Wa Kufanya Matusi Mjini Sehemu Ya Hatari
Noma Club Maana Watoto Wanashindana Chupi Pisi Za Dare S Salaam Nuksi
Bila Pesa Hawakupi Ukiwaona Huko Nyuma Ni Hatari Na Hapa Kwa Juu Chuchu Wamebust
(Oya Oya Oya Weee)
Dandia Dandia Bambia Bambia Ngoma Isambee Halijui Lichambee
Dandia Dandia Bambia Bambia Ngoma Isambee Halijui Lichambee
Tuombe Mungu Babaa
Tubarikii
Sisi Ni Watoto Wako
Tubarikii
Leo Tuna Party
Tubarikii
Tuvushe Siku Tufike Kesho
Eeeh Mungu Babaa
Tubarikii
Sisi Ni Waja Wako
Tubarikii
Leo Tuna Party Eeeh
Tubarikii
Tuvushe Siku Tuone Kesho
Eeeh Kwa Jina La Baba Ameen Na La Mwana Ameen
Na La Roho Mtakatifu Ameen Sie Kwako Madhaifu Ameen
Eeeh Kwa Jina La Baba Ameen Na La Mwana Ameen
Na La Roho Mtakatifu Ameen Sie Kwako Madhaifu Ameen
(Instrumental)
(Whozu)
Baba Baba God
Eeh
Yeza Yeza
Baba God Pombe Nakunywa Ila Naamini Upo
Mapenzi Ya Kinisumbua Natafuta Mchepuko
Pombe Nakunywa Eeh Ila Naamini Upo
Mapenzi Ya Kinisumbua Natafuta Mchepuko
(Ayoo)
Tubarikii Iih
Akina Sisii
Tunavyofanya Vingine Hatupendi Ila Ndo Tuna Dhiki
Babaa Tubarikii Akina Sisi Olooh
Tunavyofanya Vingine Hatupendi Ila Ndo Tuna Dhiki
Tuombe Mungu Babaa
Tubarikii
Sisi Ni Watoto Wako
Tubarikii
Leo Tuna Party
Tubarikii
Tuvushe Siku Tufike Kesho
Eeeh Tuombe Mungu Babaa
Tubarikii
Sisi Ni Waja Wako
Tubarikii
Leo Tuna Party Eeeh
Tubarikii
Tuvushe Siku Tuone Kesho
Eeeh Kwa Jina La Baba Ameen Na La Mwana Ameen
Na La Roho Mtakatifu Ameen Sie Kwako Madhaifu Ameen
Eeeh Kwa Jina La Baba Ameen Na La Mwana Ameen
Na La Roho Mtakatifu Ameen Sie Kwako Madhaifu Ameen
(Billnass)
Kibanabaa
Mungu Babaa Naomba Unilinde Na Umeme Umeme Umeme
Maana Nikifa Sitozikwa Na Mapene Mapenee Mapenee
Palipo Na Shazi Ndo Hakika Utanipata Sichagui Kiwanja Iwe Masaki Ama Tabata
Palipo Na Shazi Ndo Hakika Utanipata Sichagui Kinywaji Iwe Laini Ama Bapaa
Wakishalewa Wanajifanya Watu Wa System Tukiwapiga Ndo Wanajifanyaga Victim
Na Tukitimba Si Unajuaga Ni Big Team Mrangee, Cruiser,Benz Na My Big Team
Dandia Dandia Bambia Bambia Ngoma Isambee Halijui Lichambee
Dandia Dandia Bambia Bambia Ngoma Isambee Halijui Lichambee
Tuombe Mungu Babaa
Tubarikii
Sisi Ni Watoto Wako
Tubarikii
Leo Tuna Party
Tubarikii
Tuvushe Siku Tufike Kesho
Eeeh Mungu Babaa
Tubarikii
Sisi Ni Waja Wako
Tubarikii
Leo Tuna Party Eeeh
Tubarikii
Tuvushe Siku Tuone Kesho
Eeeh Kwa Jina La Baba Ameen Na La Mwana Ameen
Na La Roho Mtakatifu Ameen Sie Kwako Madhaifu Ameen
Eeeh Kwa Jina La Baba Ameen Na La Mwana Ameen
Na La Roho Mtakatifu Ameen Sie Kwako Madhaifu Ameen
Chonde Mungu Babaa
Tubarikii
Sisi Ni Watoto Wako
Tubarikii
Leo Tuna Party
Tubarikii
Tuvushe Siku Tufike Kesho
Eeeh Mungu Babaa
Tubarikii
Sisi Ni Waja Wako
Tubarikii
Leo Tuna Party Eeeh
Tubarikii
Tuvushe Siku Tuone Kesho
Written by: Ibrahim Abdallah Nampunga, Oscar John Lelo, William Nicholaus Lyimo