Top Songs By Chino Kidd
Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
Chino Kidd
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Chino Kidd
Songwriter
Lyrics
[Verse 1]
Pesa madini nitakupa ubaki na mimi
Kwengine sitamani, kama umeshushwa yani ih, ih
We ni mtu ama jini, mtoto una vitu laini
Nusu nipigwe pini, umefungasha double cabin
Sio popular naficha kabisa na dracular
Wasilete ubishi vigagula,hii ngoma nakata nisangula oyah sangula
[Verse 2]
Oya sangula, sio popular naficha kabisa na dracular
Wasilete ubishi vigagula,hii ngoma nakata nisangula oyah sangula
Oyah sangula
[Chorus]
Mwakitale ma, Mwakitale ma eh
Mwakitalee, Mwakitale ma
Oohh Mwakitale ma, Mwakitale ma ha
Mwakitaleee, oohh Mwakitale ma
[Bridge]
Mmh huhaa! Huhaa!
Mmh huhaa! Huhaa!
[Verse 3]
Nimetia nanga aahaa,mlevi wa ngada, aahaa
Hatutumii mpira aahaa, she my pain killer aahaa
[Chorus]
Ohh Mwakitale ma, Mwakitale ma
Mwakitaleee, Mwakitalee
Oohh Mwakitale ma, Mwakitale ma
Mwakitalee, Mwakitalee
[Verse 4]
Nisije kufa nauchizi ma, ndo maana kila siku nakuplease na
Achana na washamba wenye fitina, uzidi kunipenda hata nikiwa sina
Ah sema Mwakitale we ni pisi kale, nishajizatiti mama sio kimoko chalee
Nipe my darlee, shoot za mbalee, wanakutamani, yamenicheza machalee
[Chorus]
Ohh Mwakitale ma, Mwakitale ma
Mwakitalee, Mwakitalee
Oohh Mwakitale ma, Mwakitale ma ah
Mwakitalee, Mwakitalee
[Refrain]
Nimetia nanga aahaa
Mlevi wa ngada aahaa
Hatutumii mpira aahaa
She ma pain killer aahaa
[Refrain]
Naungana na masela aahaa
Nami nipelekwe jela aahaa
Kwasababu nakupenda aahaa
Nakibanda tutajenga aahaa
Written by: Chino Kidd