Top Songs By Otile Brown
Similar Songs
Lyrics
Ih
Oh, oh
Ih
Mmm
Na-na-na-na, oh yeah
Ih
Mmm
Ih
Mmm
Mmm
Usinione najiamini
Yote ni kisa namjua Mungu
Mungu anaishi ndani yangu
Ndio anipaye ujasiri (Mmm)
Usinione ninaringa
Yote ni kisa namjua Mungu
Mungu anaishi ndani yangu
Ndio ananisitiri mimi
Nimeshapigana vita vingi
Nimeshapoteza vingi
Ila imani yangu kwake iko imara (Mmm)
Wamekwisha niwekea vigingi
Mchawi nazi 'kavunja ka sitini
Ila nimeshindikana
Nimeshindikana
Tena siogopi hata kwa hatari
Mmm
Siogopi hata kwa ajali (Ooh, ooh)
Alimradi uko nami
Niko sambamba
Siogopi hata kwa hatari (Ooh, ooh)
Maana Mungu wangu mi
Hafanani
Yeye hafanani
(Hafanani na binadamu)
Hafanani
Yeye hafanani
(Mungu wangu hafanani)
Hafanani
Yeye hafanani
Hafanani
Hafanani
Yeye Hafanani
(Mungu wangu hafanani)
Hafanani
Katu hafanani na binadamu
Mungu wangu hafanani nawe
Mungu wangu
Oh, oh, oh, oh
Hafanani
Mungu wangu hafanani na binadamu
Mungu wangu hafanani nao (Na binadamu)
(Instrumentals)
Tena siogopi hata kwa hatari
Mmm
Siogopi hata kwa ajali (Ooh, ooh)
Alimradi uko nami
Niko sambamba
Siogopi hata kwa hatari (Ooh, ooh)
Maana Mungu wangu mi
Hafanani
Yeye hafanani
(Hafanani na binadamu)
Hafanani
Yeye hafanani
(Mungu wangu hafanani)
Hafanani
Yeye hafanani
Hafanani
Hafanani
Yeye Hafanani
(Mungu wangu hafanani)
Hafanani
Katu hafanani na binadamu
Mungu wangu hafanani nawe
Mungu wangu
Oh, oh, oh, oh
Hafanani
Mungu wangu hafanani na binadamu
Mungu wangu hafanani nao (Na binadamu)