Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Otile Brown
Otile Brown
Performer
Barakah The Prince
Barakah The Prince
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Otile Brown
Otile Brown
Songwriter

Lyrics

[Intro]
Eieh turuh turuh
Tuturuh tururuh
Taratara yea-eeh
[Verse 1]
Naitwa Ramji unaitwa nani wewe?
Unaitwa nani?
Hivi unatoka mtaa gani wewe?
Mtaa gani?
Hivi we mwana wa nani wewe?
Mwana wani?
Hii muda wote umekuwaga wapi wewe?
Umekuwaga wapi?
Naomba usinipe kisogo
Nataka nifungue wangu moyo
By the way ninamiliki gari
Na sasa lipo gereji kidogo
Atention
Atention
Baby can I get your attention?
Mimi sina ubaya, sina ubaya
Just wanna give you some love and affection
[Verse 2]
Sijui uendako wapi, ila naomba nitembee nawe
Nina mengi, ninataka niseme nawe
Sijui uendako wapi, ila naomba nitembee nawe
Nina mengi, ninataka niseme nawe
Nataka niseme nawe, kidogo, niseme nawe
Nataka niseme nawe, kidogo, niseme nawe
[Verse 3]
Na wewe, mmh
[Verse 4]
Aah so baby please usione utani
Na maanisha nacho sema sio utani
Umenimaliza mama aah mmh
Watu fulani, wanadai, nikuwache unatoka na fulani
Mbona bila bila mama aah mmh
Twende nyumbani, dada ameandaa kachori nile nawe
Kisha maishani, pale niishie birikani nikiwa nawe
Au Coco Beachi, tupunge upepo wa bahari
Mombasa, Malindi, tukale hizo kachili jamani
Mama Tanzania wee
[Verse 5]
Sijui uendako wapi, ila naomba nitembee nawe
(Nitembee nawe)
Nina mengi, ninataka niseme nawe
(Oh mama mama eeh)
Sijui uendako wapi, ila naomba nitembee nawe
Nina mengi, ninataka niseme nawe
Nataka niseme nawe, kidogo, niseme nawe
Nataka niseme nawe, kidogo, niseme nawe
[Verse 6]
All Tanzania, (Kusanya)
Mombasa, Nairobi, Kenya (Kusanya)
Dar-Es-Salama (Kusanya)
Nitembee mimi na wewe
Oh Tanzania (Kusanya)
Ata Kampala (Kusanya)
Uganda, Bujumbura (Kusanya)
Nitembee na wewe wee!
Burundi na Rwanda (Kusanya)
Congo Kinsasha (Kusanya)
Sudan, Ethiopia (Kusanya)
Kusanya mama eeh
Burundi na Rwanda (Kusanya)
Congo Kinsasha (Kusanya)
Sudan Ethiopia (Kusanya)
Kusanya mama eeh
Oh yeah
Kusanya mama eiih
Written by: Otile Brown
instagramSharePathic_arrow_out