Lyrics

Ningekuwa mng'ata hii dunia, ooh mi amor
Ila ndo nisije jaliwa sina la ku offer zaidi ya mapenzi ya dhati
Hali yako naielewa, wala usijali, nimekubali ilivyo
Kwako nimelowa nilidhani nitaelea nikajihisi mia, ooh
My cherie hata na pasi naza nayo ooh baby
My hunnie hata balobi natika yoh jameni

Kwenye shida na raha, aah-aah, kwa kumbato lako ni sawa, sawa
Kwa maradhi sihitaji dawa, dawa, kwa busu lako baba ni sawa, sawa
Hali mradi niko na wewe (Iyee, iyee aah)

Hatuna king-size bed ila twalala (Twalala)
Haila za burger, ila twala (Twala)
Umeridhia moyo kwa penzi lako la thamani
Hatuna king-size bed ila twalala (Twalala)
Burger, ila twala
Umeridhia moyo kwa penzi lako la thamani
My cherie hata na pasi naza nayo ooh baby
My hunnie hata balobi natika yoh jameni
My cherie hata na pasi naza nayo ooh baby
My hunnie hata balobi natika yoh jameni
Kwenye shida na raha, aah-aah, kwa kumbato lako ni sawa, sawa
Kwa maradhi sihitaji dawa, dawa, kwa busu lako baba ni sawa, sawa
Hali mradi niko na wewe (Iyee, iyee aah)
Hali mradi niko na wewe (Iyee, iyee aah)
Hali mradi niko na wewe (Iyee, iyee aah)
Hali mradi niko na wewe (Iyee, iyee aah)
Written by: Otile Brown
instagramSharePathic_arrow_out