Top Songs By OgaObinna The Oga@DTop
Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
OgaObinna The Oga@DTop
Performer
COMPOSITION & LYRICS
OgaObinna The Oga@DTop
Songwriter
Lyrics
Nana x 3
Oooh yeah...
Nana × 8
Oooh yeah..
Namposti kwote mumuone
Mumjue honey.
Maswali yapungue..
Kiboko yangu nani..
Wasiwasi sina...
Naye hofu hana..
Namtaja na jina
Mwache kuulizana..
Nimechoka kumficha
Leo namposti x 4
Ooh yeah..x 3
Nishajiza titi Si hofi
Nishamtuliza kwa penzi
Bora mumjue niwe free
Maana kumcheati siwezi
Mi ndio kiboko yake..
Namkosha roho yake
Ye ndio kiboko yangu
Fundi wa raha zangu...
Bebi
Nimechoka kumficha
Leo namposti x 4
Nimechoka ,nimechoka kumficha..
Nimechoka,nimechoka
Kujificha...
Nimechoka kumficha na mafilter...
Sema, mami...
Wataka nini?
Itisha HONEY ulambe ASALI
Je nikikutoa, hautanichorea?
Je nikikutoa eh,sitakupoteza?
We ndio barabara nakanyaga polepole..
Moyoni we ni benz naendesha taratibu
Kula zabibu masela wapate aibu
Jyeah nitaposti
Aah, wow, naposti
Jyeah ooeh nitaposti
Haha
Je nikikutoa hautanichorea
Je nikikutoa eh, sitakupoteza?
Nimechoka kumficha
Leo namposti x 4
Nimechoka kumficha x 3
Written by: OgaObinna The Oga@DTop