Lyrics

Mi' nakuchagua wewe, wewe uwe wangu (Aah), mume wangu, baba ya watoto wangu (Aah)
Kupendwa nawe majaliwa, kukuoa ni baraka, eeh (Aah)
Mshikaji wangu wa maisha oh, baby, I love you (Aah)
And for you ninabadili mienendo yangu, baba
Baby, for you ninaukimbia ujana mama, eeh
Nijenge boma nawe (Nawe), nizae watoto nawe (Nawe), niwalee pamoja nawe (Nawe), nizeeke pamoja nawe (Nawe)
Nataka nijenge boma nawe (Nawe), nizae watoto nawe (Nawe), niwalee pamoja nawe (Nawe), nizeeke pamoja nawe (Nawe)
Chaguo la moyo tam tarara tam-tam, chaguo la moyo tam tarara tam-tam
Na kwenye madhabau unavong'aa, unavopendeza kwenye hilo rinda
Oh, baby, I knew you're the one for me, oh, baby, you're the one for me
I can tell the way you smile, the way you laugh, the way you talk, the way you walk
Baby, you're the one for me, I swear you're the one for me
And for you ninabadili mienendo yangu, mama
Baby, for you ninaukimbia ujana wangu
Nijenge boma nawe (Nawe), nizae watoto nawe (Nawe), niwalee pamoja nawe (Nawe), nizeeke pamoja nawe (Nawe)
Nataka nijenge boma nawe (Nawe), nizae watoto nawe (Nawe), niwalee pamoja nawe (Nawe), nizeeke pamoja nawe (Nawe)
Chaguo la moyo tam tarara tam tam (Yay), chaguo la moyo tam tarara tam tam (Yay)
Written by: Otile Brown
instagramSharePathic_arrow_out