Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
Aslay
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Aslay
Composer
PRODUCTION & ENGINEERING
John Hamis Misana
Producer
Lyrics
He ehh
Iye yee yeeeh
Yeeeh
Yeih
Aiyeeh yeih
Aiih
Hmm
Hasira za nini wakati umemuacha mwenyewe
Tabia mbaya
Vurugu za nini sitaki ugomvi na wewe
Tabia mbaya
Ulimuona wa nini mimi kwangu wa thamani
Alikuja kachafuka nikamuosha kwa sabuni
Alikuja amenuna nikageuka katuni
Najua kumchekesha
Asubuhi na jioni
Baniani mbaya kiatu chake dawa
Usione kapendeza mwenzako namwaga hela
Hivi ni kipi kinachokusumbua aah
Kama ulimpenda kwa nini ulimuachia
Kwa taarifa yako huyu simuachi
Nitakaba mpaka penalty
Nita mroga nita mkinga
Ili usipate nafasi
Si ulimuona mfupa
Basi nautafuna mimi fisi
Nitamganda nitamuhonga
Mpaka ufe kwa stress
Ngoja nikushauri hili jambo lichukulie tu
Easy
Najua inakuuma ila chukulia tu
Easy
Ananipetipeti ila we chukulia tu
Easy
Najua inakuchoma ila chukulia tu
Easy
Hizo Message za vitisho
Zinazoturusha roho
Nina RB yako
Tutakutana Oysterbay police
Mkiona nimepasuka mjue yeye
Na mkisikia nimekufa jamani yeye eh
Mkisikia nimefungwa nimeua yeye
Ananinyima amani jamani yule
Kipi kilichokufanya umuache
Na sasa unataka nini kwake
Hebu mpotezee wapo wengi wanawake
Si ulitaka huyu manzi ateseke
Yupo kwangu unataka umteke
Si umpotezee tafadhali umuache
Baniani mbaya kiatu chake dawa
Usione kapendeza mwenzako namwaga hela
Hivi ni kipi kinachokusumbua aah
Kama ulimpenda kwa nini ulimuachia
Kwa taarifa yako huyu simuachi
Nitakaba mpaka penalty
Nitamroga nitamkinga
Ili usipate nafasi
Si ulimuona mfupa
Basi nautafuna mimi fisi
Nitamganda nitamuhonga
Mpaka ufe kwa stress
Ngoja nikushauri ili jambo lichukulie tu
Easy
Najua inakuuma ila chukulia tu
Easy
Ananipetipeti ila we chukulia tu
Easy
Najua inakuchoma ila chukulia tu
Easy
Written by: Aslay