Music Video

Seneta Worldwide - MABUSU (Official Music Video)
Watch Seneta Worldwide - MABUSU (Official Music Video) on YouTube

Top Songs By Seneta Worldwide

Credits

COMPOSITION & LYRICS
Seneta Worldwide
Seneta Worldwide
Songwriter

Lyrics

Sitokusema kwa machache nitakuimbia na wimbo,
Moyo umeruhusu ninase penzi lako ulimbo
Sitoruhusu Uniache
Nimechoka U-Singo
Nimeruhusu Ukeshe
Kwako niko Lindo
Mi kwako sina Hali
Kukupata kama Zali
Kwa yangu Hiyari
Nikufiche Tuepushe Shari
Mabusu
Nikupige Mabusu, Mabusu
Mabusu
Nikupige Mabusu, Mabusu
Kama Sayari ningekuhonga hata Dunia
Nimekuchagua wewe, yani ndani ya Mamia
My Love, You're My Everything
You're My Doremi
My Doremi
My Love- Oh My Love
Sijui umenipendea nini Mi
Oh My Love
Mi kwako sina Hali
Kukupata kama Zali
Kwa yangu Hiyari
Nikufiche Tuepushe Shari
Mabusu
Nikupige Mabusu, Mabusu
Mabusu
Nikupige Mabusu, Mabusu
Mabusu
Nikupige Mabusu, Mabusu
Mabusu
Nikupige Mabusu, Mabusu
Written by: Seneta Worldwide
instagramSharePathic_arrow_out