Lyrics

[Verse 1]
Nikitaka mwendo kasi
Speed nikolezee babe
Kama sitomasa kiuno
Nichombeze babe
[Verse 2]
Usipokuwepo nakuwaza sana wee
sijazoea kuishi bila wee
Siunajua minakupenda wee
usikatishe movie basi tuendelee
[PreChorus]
Mi kwako, kwako sichomoki
Moyo wangu umeupiga loki (Aku siondoki}
Na wanaju-aa mii
Kwako kisiki sichomoki
Hata wakileta noti (Aku siondokii)
[Chorus]
Sio kitoto, kitoto (Kwako nimezama mazima)
Sio kitoto, kitoto (Jahazi limezama safina)
Sio kitoto, kitoto (Kwako nimezama mazima)
Sio kitoto, kitoto (Jahazi limezama safina)
[Verse 3]
Kama ukichoka uwani (Hee)
Nipeleke sebuleni (Wee)
Dereva bila miwani (Mmh)
Kafumaniwa ukweni
[Verse 4]
Huna-na-na see my dear
Tujinafasi
mwengine ni nani wakunipalia
Kama sio weeh
[Verse 5]
Ukinikazia stimu zote utazikata
Mi nataka tuwe kama kijumbe na ukatu
Nipe kwa hisia taratibu navyokata
Kushoto kulia kanyagia my dear
Chapa chapa
[PreChorus]
Mi kwako, kwako sichomoki
Moyo wangu umeupiga loki (Aku siondoki)
Na wanaju-aa mii
Kwako kisiki sichomoki
Hata wakileta noti (Aku siondokii)
[Chorus]
Sio kitoto, kitoto (Kwako nimezama mazima)
Sio kitoto, kitoto (Jahazi limezama safina)
Sio kitoto, kitoto (Kwako nimezama mazima)
Sio kitoto, kitoto (Jahazi limezama safina)
Written by: Sarah Michael Kitinga
instagramSharePathic_arrow_out