Lyrics

[Verse 1]
Ingali ata siku iwe baridi, sihitaji shuka ata ka upo kando yangu
Nikishika naamini hamna zaidi ya moto fire
Saa sita kidali kiuno kimtaya
Skin chocolate Rihana wa ulaya
Umeupiga mwingi mama you on fire
Angelina
[Verse 2]
Rockabye, she is from Bongo Dar
Kwa mama Samia kule karikae
Yaani I Love you till I die
Umetawala kingi, utamu wa penzi lako siridhiki
Nimezama kwa kisima chemye kina kirefu
[Verse 3]
Tena nitalipa mshahara, uwe meneja wa moyo wangu
Doctor wa pressure na stress
Unanituliza ooh noo
Rockabye baby, acha nikuimbie
Ooh yes, the way you do me chinja
[Verse 4]
Coz the way you love me darling
The way you do my body
The way you talk, the way you walk
The way you call me pappi
The way you love me honey
The way you call me daddy
Its only you and me
[Chorus]
Rockabye baby Rockabye
Rockabye baby Rockabye
In need you
Rockabye baby Rockabye
Straight to me bed tonight
Rockabye baby Rockabye
Am gonna need you
Rockabye baby Rockabye
Straight to me bed tonight
[Verse 5]
Nyumbani sifosiwi mwenyewe ninarudi tu
Nikiwa mbali nae nahisi namkosa
Moja mbili haikai nikimkosa
Si bure kuna kitu umenifanyaa
[Verse 6]
Kama kuroga umeniroga vizuri
Nipe namba ya mganga nimwambie baby (Aongeze dawa)
[Verse 7]
Uuh ukinita nguvu zinanisha
Naregea kabisa kabla hujanishika
Mwenzako bebe uuh ukinita nguvu zinanisha
Sijafa ninazikwa ujana waniisha
[Chorus]
Rockabye bebe rockabye
I'm gonna need you
Rockabye bebe rockabye
Straight to my bed to night
Rockabye bebe rockabye
I'm gonna need you
Rockabye bebe rockabye
Straight to my bed to night
instagramSharePathic_arrow_out