Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
Phina
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Saraphina Michael Kitinga
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Ally Mohamed Juma
Producer
Lyrics
[Verse 1]
Kila kwenye ndoto zangu
Naotaga kuwa na wewe
Hata nikisema naugua (ah)
Dawa nahisigi wewe
[Verse 2]
Unaishi mawazoni mwangu
Furaha ya mi ni wewe
Hata nikisema naugua (ah)
Dawa nahisi ni wewe
[Verse 3]
Na sio kwamba siwezi kupata mwingine
Ila moyo
Sio kwamba sipati kutakiwa (ah)
Mi amor
[Verse 4]
Sio kwamba siwezi kupata mwingine (eeh)
Sio kwamba sipati kutakiwa (aah)
[Verse 5]
Na wala sio zoba, nazi, koroma (ah)
Kinacho matter ni upendo upendo (Koroma)
Mi sina uzoba ama ukoroma
Kinacho matter ni upendo, upendo na ninakupendaaaa
[Chorus]
I’m in love with you
I'm in love, I'm in love
I'm in love with you
I'm in love, I'm in love (Na ninakuaminia)
I'm in love with you (We na mi)
I'm in love, I'm in love
[Chorus]
I'm in love, I'm in love with you
I'm in love with you
I'm in love with you
[Verse 6]
Navuta picha labda si tukitengana
Na nilivyopenda hivi uhisi itapoa (Doro, doro)
Siipati picha ila siku ya kuoana (Aah)
Na tusipotenda hivi hudhani itaboa (Doro, doro)
[Verse 7]
Mapenzi matamu tupendane
Wabaya washindwe kushauri
Uwe wangu wa milele tufanane
Mi kwako ndo sina hata kauli
[PreChorus]
Na wala sio zoba, nazi, koroma
Kinachomata ni upendo upendo (Koroma)
Mi sina uzoba ama ukoroma (Ah)
Kinachomata ni upendo upendo na ninakupendaa
[Chorus]
I’m in love with you
I'm in love, I'm in love
I'm in love with you
I'm in love, I'm in love
I'm in love with you
I'm in love, I'm in love
[Chorus]
I'm in love with you
I'm in love, I'm in love
Written by: Sarah Michael Kitinga