Credits
PERFORMING ARTISTS
Willy Paul
Performer
Nandy
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Wilson Ouma Opondo
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Kimambo On The Beat
Producer
Lyrics
Wanasema utakuja nikimbia utaniacha
Wanasema utakuja nitesa moyo utaviruga
Wanasema utakuia nikimbia utaniacha
Wanasema utakuja nitesa moyo utaviruga
I wish wangejua unavonipenda
Nami navokupenda, tunavyobembelezana
Itabidi wakam slowly (Ehe) na wajione tukipigana mate (Ehe)
Hapa tu ni mapenzi ya dhati baby njoo niku bembeleze
Baby njoo nibembeleze, nibe-nibembele
Baby njoo nibembeleze nibe-nibembele
Baby njoo nibembeleze nibe-nibembele
Baby njoo nibembeleze nibe-nibembele
Ooh njoo nibembeleze nibe-nibembele
Baby njoo nibembeleze nibe-nibembele
Sijawai kuona a man so good
A man so sweet mmh, aah a man so perfect
Sijawai kuona a man so good
A man so sweet mmh, aah a man so perfect
Na nikiugua ni wewe ndie dakitari wa moyo wangu babaa
Kila unaponishika kama nimepigwa na umeme
Kila unapoondoka yangu dunia inasimamaa
Mapenzi yako yamenipa amani
Kwa mapenzi yako sihitaji ata money
Baby wengine ata sitamani
Basi my lover njoo nikubembeleze
Baby njoo nibembeleze, nibe-nibembele
Baby njoo nibembeleze nibe-nibembele
Baby njoo nibembeleze nibe-nibembele
Baby njoo nibembeleze nibe-nibembele
Ooh njoo nibembeleze nibe-nibembele
Baby njoo nibembeleze nibe-nibembele
Written by: Wilson Ouma Opondo