Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
Vanessa Mdee
Vocals
Jux
Performer
Kool Savas
Performer
COMPOSITION & LYRICS
S2Kizzy
Arranger
Lyrics
Shawty badder, she got me high kama beat ya S2kizzy
Nisipomuona sekunde nammiss, najiuliza amenipa ninii?
Kila stori nayopiga ye ndo mada, nangombana kabisa wakimdiss
Na kuumia kwa moyo nahisi, najuliza amenipa ninii?
Namkunja kabisa kama kambale (Aaha), nashinda kabisa sitaki sare
Hakuna tunguri mambo ya chale, mtu wa Mungu, mtoto wa kipare
Namkunja kabisa kama kambale (Aaha), nashinda kabisa sitaki sare
Hakuna tunguri mambo ya chare, mtu wa Mungu, mtoto wa kipare
Ananivuta vuta kama magnet, I belong to you, you belong to me baby
Ananivuta vuta kama magnet, do na, do na, do na, do
Ananivuta vuta kama magnet
Ananivuta vuta kama magnet, I do, I do, I do
Suma suma suma-ku, suma suma suma-ku, suma suma suma-ku, sumaku sumaku
Baby please, tell me you want more What you like about the feeling?
Honestly, I wanna show you I’m feeling you too
Lemmi take you to a nice place, tuzime taa nivute, nikunase, utashangaa
Nikupe vitu vyote, upate raha, I'm caught up in you and am tempted to stay up
Ooh baby (Ooh baby), nikikuona nazubaa (Ooh baby)
Ooh baby (Ooh baby), mi napandwa na kichaa (Ooh baby)
Namkunja kabisa kama kambale (Aaha), nashinda kabisa sitaki sare
Hakuna tunguri mambo ya chale, mtu wa Mungu, mtoto wa kipare
Namkunja kabisa kama kambale (Aaha), nashinda kabisa sitaki sare
Hakuna kinguri mambo ya chare, mtu wa Mungu, mtoto wa kipare
Ananivuta vuta kama magnet, you belong to me, I belong to you baby
Ananivuta vuta kama magnet, I do, I do, I do
Ananivuta vuta kama magnet, you belong to me, I belong to you baby
Ananivuta vuta kama magnet, I do, I do, I do
Suma suma suma-ku, suma suma suma-ku, suma suma suma-ku, sumaku sumaku
(Anatuvua) Kila akitupa nyavu, (Anachukua) aah visenti vyetu vyote, (Anatuvua) aah mama kila akitupa nyavu, (Anachukua) hatutoki
Anatuvua aah-ah akitupa nyavu, (Anachukua), yaani visenti vyetu vyote, (Anatuvua) mama mama ma, (Anachukua)
Written by: Jux, S2Kizzy