Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
Nandy
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Faustina Nandera Charles Mfinanga
Songwriter
Lyrics
[Verse 1]
Uliyenipa maumivu mi kama nyang'au
Na tena maumivu dawa ninywe vidonge
Kwa marafiki, mashosti unakanidharau
Ukanitia uvivu, stress niwe mnyonge
[Verse 2]
Uliyenipa maumivu mi kama nyang'au
Na tena maumivu dawa ninywe vidonge
Kwa marafiki, mashosti unakanidharau
Ukanitia uvivu, stress niwe mnyonge
[Verse 3]
Leo sina thamani, ndo maana
Unawafuata milupo ohh baba
Leo sina thamani eh ndo maana
Unawafuata milupo oh baba, we niachee
[Chorus]
Nitapona mdogo-mdogo nitapona
(Niache niende salama) Nitapona mdogo-mdogo nitapona
(We niache) Nitapona mdogo-mdogo nitapona
(Niache niende salama) Nitapona mdogo-mdogo (Ooh) nitapona
Ooh oaah
Ooh ooah
Mara ugomvi unakurupua unanitukana mimi
[Verse 4]
Hata zawadi nikikuletea hausemi ahsante
Tena nashare hata bila kujua we huridhiki kwa nini
Na wakati nilijisumbua mwenzangu usiwaze
[Verse 5]
Wangu moyo we unauchanganya ah
Umekua kivuruge unavuruga sana baba we
Kitu gani kwako mi sijafanya eh eeh
Ama kuna mtu mnapendana sana
[Verse 6]
Leo sina thamani ndo maana
Unawafuata masista du oh baba
Leo sina thamani eh ndo maana
Unawafuata masista du oh baba, we niachee
[Chorus]
Nitapona mdogo (Niache we) mdogo nitapona (Niachee)
Nitapona mdogo (Niache) mdogo nitapona (Ntapona kidogo, kidogo)
Nitapona mdogo mdogo (Ooh) nitapona (Ntapona mimi)
Nitapona mdogo, mdogo (Niache we) nitapona
Written by: Faustina Nandera Charles Mfinanga