Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
Nandy
Performer
COMPOSITION & LYRICS
John Kimambo
Composer
Faustina Nandera Charles Mfinanga
Composer
PRODUCTION & ENGINEERING
Kimambo Beats
Producer
Lyrics
[Verse 1]
Naona kama dunia imesimama nimeibeba kichwani
Kumbe kuachwa inaumaga ivii
Tena nazidi umia nikilalama machozi yanatiririka
Kumbe kuachwa ina umaga ivii
[Verse 2]
Umeniumbua bora niseme
Kiapo nilicho kula bora nikiteme
Mapenzi shikamo (Sirudii tena)
[Verse 3]
Umepatwa na nini si useme
Kinachokufanya we uniteme
Mapenzi shikamo sirudii tena
Sa si bora ungetoa taarifa nijiandae umenichokaa
Au ndo nimekosa sifa unaishia tu kuropokwa
[Chorus]
Bila wee me siwezi (Sauti inarudia)
Siwezi, siwezii (Nakumbuka uliniambia)
Bila wee me siwezi (Sauti inarudia)
Siwezi, siwezi (Nakumbuka uliniambia)
[Verse 4]
Unanifanya mi nalewa sana
Haipiti siku bila kugombana
Mapenzi yako ya kibabe sana
Malumbano ya mapenzi siyawezi
[Verse 5]
Kuna sielewi mana, ivi kwa nini kwako nang'ang'ana
Mapenzi gani haya kutesana
Wasi wasi wa mapenzi
Ivi kwa nini we hisia zangu unazikondesha unaniweka roho juu
Ina maana mie maisha yangu sito yasongesha oh mapenzi
[Verse 6]
Sa si bora ungetoa taarifa nijiandae umenichoka
Au ndo nimekosa sifa unaishia tu kuropokwa
[Chorus]
Bila wee me siwezi (Sauti inarudia)
Siwezi, siwezi (Nakumbuka uliniambia)
Bila wee me siwezi (Sauti inarudia)
Siwezi, siwezi (Nakumbuka uliniambia)
Written by: Faustina Nandera Charles Mfinanga, John Kimambo