Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
Beka Flavour
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Bakari Katuti
Songwriter
Lyrics
Aaahh eehh aahh eehh aaahh eeehh
Pombe ina kitu chake itafika mbalii eehh
Aaahh eehh aahh eehh aaahh eeehh
Pombe ukinywa kwanza inakata nishai eehh
Nikiona mtu kashika bia akili yangu inakuwa vum vum
Nikiona mtu anakunywa pombe akili yangu inakua vum vum

Nilisema sinywi tena bia, nilisema sinywi tena gambe

Hapana no!
Pombe ntaziacha mwakani, mwaka huu naona haiwezekani

Nikilewa najiona boss , hatakama sina pesa mfukoni
Niko bongo ila najihisi kama nipo zangu vile mamtoni

Dishu dishu shu shu shuuu
Dishu dishu shu shu shuuu
Dishu dishu shu shu shuuu
Dishu dishu shu shu shuuu
Nishakunywa mipombe mwenzenu mi namwaga radhi
Mwagaaaah
Niacheni mi niyumbe aahhh namwaga radhi
Mwagaaah
Nishakunywa mipombe mwenzenu mi namwaga radhi
Mwagaaaah
Nayumba yumba ahh namwaga radhi
Mwagaaah
Pombe ntaziacha mwakani, mwaka huu naona haiwezekani
Pombe ntaziacha mwakani, mwaka huu naona haiwezekani
Nikilewa najiona boss , hatakama sina pesa mfukoni
Niko bongo ila najihisi kama nipo zangu vile mamtoni
Nikilewa najiona boss , hatakama sina pesa mfukoni
Niko bongo ila najihisi kama nipo zangu vile mamtoni
Dishu dishu shu shu shuuu naziacha mwakani
Dishu dishu shu shu shuuu
Dishu dishu shu shu shuuu naziacha mwakani
Dishu dishu shu shu shuuu
Pombe ntaziacha mwakani, mwaka huu naona haiwezekani
Pombe ntaziacha mwakani, mwaka huu naona haiwezekani
Kila nikipanga kuacha pombe zinatoka pombe mpyaa

Written by: Bakari Katuti