Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
MABANTU
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Twarha Kanengo
Songwriter
Mwarami kajonje
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Chiby
Producer
Lyrics
[Intro]
Muhuni akipenda anapenda kweli (Si wanapenda kubang )
Muhuni akipenda anapenda kweli (Kumaanisha nini?)
[Chorus]
Muhuni akipenda anapenda kweli
Muhuni akipenda anapenda kweli
[Verse 1]
Ikitokea wamekutenga dunia nzima
I will be by your side mama (Side mama)
Tena ikitokea hata umeua umeletwa kwa mahakama
Alafu me ndo judge hauna case mama (Case mama )
[Verse 2]
Uliniomba nitulie nikatulia
Forever we kushoto me kulia
Ulipotoka mateso umechoka kulia
Tuzae watoto tumake historia
[PreChorus]
Asaah! Ukisema unaniacha naomba kuuliza
Mimi unaniacha na nani? (Unaniacha na nani?)
Unaniacha na nani? (Unaniacha na nani?)
Ukisema umenichoka naomba kuuliza
Mimi unaniacha na nani? (Unaniacha na nani?)
[Chorus]
Mana kisirani changu unaekiweza (Ni wewe )
Unaekituliza (Ni wewe )
Unaenipa furaha (Ni wewe )
You the best we ndo best wewe ndio furaha yangu (Ni wewe )
[Chorus]
Unaenipa amani (Ni wewe)
Unaenipa furaha (Ni wewe)
You the best we ndo best unaenifanya niburudike
[Chorus]
Muhuni akipenda anapenda kweli
Muhuni akipenda anapenda kweli
[Verse 3]
Ikitokea wamekuloga umekuwa chizi
Dampo makopo tutaokota wote (Tutaokota wote)
Tena ikitokea siku ya mwisho me peponi alafu we motoni
Uwo moto tutachomwa wote (Tutachomwa wote )
[Verse 4]
Nilisamama pale tu uliposema simama
Sio mashemeji tulipendwa na mama
Sio wa kufa Tu na kuzikana
Ikiwezekana tufufuke wote kiama
[PreChorus]
Ukisema unaniacha naomba kuuliza
Mimi unaniacha na nani? (Unaniacha na nani?)
Unaniacha na nani? (Unaniacha na nani?)
Ukisema umenichoka naomba kuuliza
Mimi unaniacha na nani? (Unaniacha na nani?)
[Chorus]
Mana kisirani changu unaekiweza (Ni wewe )
Unaekituliza (Ni wewe )
Unaenipa furaha (Ni wewe )
You the best we ndo best wewe ndio furaha yangu (Ni wewe )
Unaenipa amani (Ni wewe)
Unaenipa furaha (Ni wewe)
You the best we ndo best unaenifanya niburudike
[Chorus]
Muhuni akipenda anapenda kweli
Muhuni akipenda anapenda kweli
Written by: Mwarami kajonje, Twarha Kanengo