Top Songs By Barakah The Prince
Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
Barakah The Prince
Performer
Baraka Adrew
Lead Vocals
COMPOSITION & LYRICS
Baraka Adrew
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Ginius Jini
Producer
Lyrics
[Verse 1]
Penzi lako lanifaa
Palipo pelea we ndio kifaa
Haudanganyiki
Maana penzi 'hulithaminishi
Kama bahati kukupata
Ukiniacha nitakufa
Ningeweza vipi?
Umenifanya wa tofauti
[Verse 2]
Naliona penzi kama angani nyota zinazo ng'aa
Kukupata we najiona mwenye furaha
Nilikuwa gizani 'nuru, ukawasha taa
Kukupata we najikuta mwenye furaha
[Chorus]
Naiona true love
Umenikamata
Naiona nuru nnapo ona lako tabasamu
Baby, naiona true love
Umenikamata
Naiona nuru nnapo ona lako tabasamu
[Bridge]
Inameremeta
Inameremeta
Mm-mm-mh
[Verse 3]
Naziona siku za usoni
Ndani ya shela, suti na tai
Bora nikose kila kitu
Nisikose penzi tu (Penzi lako)
Wewe sio wa sokoni
Thamani yako si ya papai
Haikuwa rahisi, boo
Kukupata wewe tu
Oh'
[Verse 4]
Naliona penzi kama angani nyota zinazo ng'aa
Kukupata we najiona mwenye furaha
Nilikuwa gizani 'nuru, ukawasha taa
Kukupata we najikuta mwenye furaha
[Chorus]
Naiona true love
Umenikamata
Naiona nuru nnapo ona lako tabasamu
Baby, naiona true love (Baby love)
Umenikamata (Baby love, love)
Naiona nuru nnapo ona lako tabasamu
[Outro]
Inameremeta
Inameremeta
Mm I'm in love
Woah, woah, woah, woah
Baby, oh
Written by: Baraka Adrew