Music Video

Christian Bella - Msaliti [ Official Video ] HD EXLUSIVE
Watch Christian Bella - Msaliti [ Official Video ] HD EXLUSIVE on YouTube

Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Christian Bella
Christian Bella
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Christian Bella
Christian Bella
Songwriter

Lyrics

[Verse 1]
Sijajua kumbe we ni musaliti
Umezoea kuonja onja kwa kila mutu
Eti kisa wewe ni mwanamuke muzuri sana
Hutaki kutulia
[Verse 2]
Ulisema hakuna mwingine zaidi yangu
Ya mimi na wewe ya kufa na kuzikana
Maneno yako matamu sana kama sukari
Kumbe ni sumu
[Verse 3]
Uzuri ya mwanamuke sio urembo
Mwanamuke ni tabia wahenga walishasema
Umenichanganya changanya mpaka na marafiki zangu
Tabia gani
[PreChorus]
Kumbe unatamani mpaka wandugu zangu (Makubwa)
Eti unataka mpaka bouncer wangu
Niambie nini sijakufanyia (Uweke chini)
Pesa mavazi mpaka magari
[Verse 4]
Sijajua kumbe we ni musaliti
Umezoea kuonja onja kwa kila mutu
Eti kisa wewe ni mwanamuke muzuri sana
Hutaki kutulia
[Chorus]
Uzuri ya mwanamuke sio urembo
Mwanamuke ni tabia wahenga walishasema
Umenichanganya changanya mpaka na marafiki zangu
Tabia gani
[Chorus]
Nenda zako, ckutaki tena
Ametoka nyumbani kavaa baibui
Akifika mtaani ana kimini, hataki kabisa kutulia
Mi nasema nenda zako, mi sikutaki tena
[Verse 5]
Apokabe yee ye, mi simutaki tena ah kweli
Mimi sikutaki tena Mery Bela
Beti mazengo oh eh
Pastor kikwale papu lami Christian Bella, police katundu yeeeeh
[Verse 6]
Huyu mwanamuke kweli kanipotezea muda
Mapema ningejua mimi nisingethubutu
Nilimpenda kweli kutoka moyoni
Kumbe anafikiria ananitumia
[Verse 7]
Eti kisa yeye muzuri
Anajifanya anajua kumbe anaungua jua
Saloma oh Ester Bella
[Verse 8]
Jan piere aka esu ndama mutoto wa ng'ombe
Rodriqe quesoka er queso
Confereso eh ehh
Anga este eh mapigo
Chimyo itema
[Verse 9]
Ngesewa Ngese muzee wa kokoto
Gekatokose mukoko papa na isa
Ashime mazengo papa ema
Ada na cheda ah ah
[Verse 10]
Hapo sasa hapo sasa, eku binda
Eku binda nkoi, eto bina
Eto bina, tuondoe stress
Njoo tucheze, tuondoe stress
[Chorus]
Nenda zako, ckutaki tena
Ametoka nyumbani kavaa baibui
Akifika mtaani ana kimini, hataki kabisa kutulia
Mi nasema nenda zako, mi sikutaki tena
[Outro]
Mi nasema need zako
Written by: Christian Bella
instagramSharePathic_arrow_out