Lyrics

Najua, najua
Nitaona mazuri
Najua, najua
Nitaona mazuri
Mazuri, mazuri
Nitaona mazuri
Mazuri, mazuri
Nitaona mazuri
Na sufuria zangu, lazima zitapika nyama siku moja
Na hii mikono yangu, lazima iendeshe gari siku moja
Na hii miguu yangu, lazima ikanyage ng'ambo siku moja
Na majirani zangu, lazima wataniheshimu siku moja
Kuna zile vitu zitakuwa better one day, nipate furaha ka smile ka better one day
Wazazi wa bibi wamepanga aende, life yangu iko dry rafiki zangu ni mende
Bora imani yangu isimame, nitaona mema si hasara
Bora imani yangu isimame, nitaona mema si hasara
Hata kama mazuri yote sitayaona hapa najua siku moja nitamuona baba
Hata kama mazuri yote sitayaona hapa najua siku moja nitamuona baba
Najua, najua
Nitaona mazuri
Najua, najua
Nitaona mazuri
Mazuri, mazuri
Nitaona mazuri
Mazuri, mazuri
Nitaona mazuri
Maombi yangu anayasikia, nina imani atanijibia
Walionicheka na kunichukia, nitashinda watashangilia
Maombi yangu anayasikia, nina imani atanijibia
Walionicheka na kunichukia, nitashinda watashangilia
Ooh na jina
Atanibalishia jina
Jah na hekima
Anipe bila kupima
Na walionisaliti nikao nao fiti, hilo ndio ombi langu
Nao marafiki anipe wafiti
Hilo ndio ombi langu
Mazuri, mazuri nitaonana
Mazuri, mazuri nitaonana
Najua, najua
Nitaona mazuri
Najua, najua
Nitaona mazuri
Mazuri, mazuri
Nitaona mazuri
Mazuri, mazuri
Nitaona mazuri
Najua, najua
Nitaona mazuri
Najua, najua
Nitaona mazuri
Mazuri, mazuri
Nitaona mazuri
Mazuri, mazuri
Nitaona mazuri
instagramSharePathic_arrow_out