Top Songs By Guardian Angel
Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
Guardian Angel
Performer
Paul Clement
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Guardian Angel
Songwriter
Lyrics
[Verse 1]
Kwani we Brother unaombaga vipi?
Mbona yakwangu hayasikiki?
Nafunga daily na bado nashindwa vipi?
[Verse 2]
Wakati wa Mungu ni kama Tsunami ya maji
Ukuta hauwezi kuzuia lazima utabomoka
Wakati wa Mungu ni kama upepo mkali
Mlango hauwezi kuzuia lazima utafunguka
[Verse 3]
Wakati wa Mungu humpata kila mtu
We kuwa na subira andika haya kwenye shajara
Wakati wa Mungu ukikujiria
Mazingira si kitu yapinge
[Verse 4]
Wakati wa Mungu ukikujiria
Mwanadamu ni nani apingee
[Chorus]
Usichoke ngoja (Ngoja)
Ngoja, ngoja (Ngoja)
Ngoja usichoke ngoja (Ngoja)
Ukujiriee, wewe subiri tu
Ngoja (Ngoja) ngoja
Ngoja (Ngoja) ngoja
Usichoke ngoja (Ngoja)
Ukujirie
[Verse 5]
Yooh nilisoma na ma_guys wameweza pata makazi
Wanafuu wameweza pata makazi
Mimi bado naulizaga, kaa nitawaipata nafuu
Ama kweli talanta itaweza nifanya nile na wakuu
[Verse 6]
Wakati wa Mungu je utawai nifikia
Baraka zangu niweze kuzipokea
Wakati wa Mungu kweli utakufikia
Baraka zako uweze kuzipokea
[Chorus]
Nimechoka kungoja
Usichoke ngoja (Ngoja)
Ngoja, ngoja (Ngoja)
Ngoja usichoke ngoja (Ngoja)
Ukujiriee, wewe subiri tu
Ngoja (Ngoja) ngoja
Ngoja (Ngoja) ngoja
Usichoke ngoja (Ngoja)
Ukujirie
[Bridge]
Sitatua Nissi eh
Natamani kivulini eh
Nipate amani
[Verse 7]
Jua Mungu ni mti wenye kivuli kizuri
Ni mit wenye uzima na Kweli eh
Makati wa Mungu fanta njia jangwani
Mito ya mani nyikani
Makati wake hauna upinzani
[Verse 8]
Kumbe wakati wa Mungu
Huwafanya adui zangu kuwa rafiki zangu
Kila kitu huta rahisi
Ata vilivyoshindikana
[Chorus]
Usichoke ngoja (Ngoja)
Ngoja, ngoja (Ngoja)
Ngoja usichoke ngoja (Ngoja)
Ukujiriee, wewe subiri tu
Ngoja (Ngoja) ngoja
Ngoja (Ngoja) ngoja
Usichoke ngoja (Ngoja)
Ukujirie
Written by: Guardian Angel