Top Songs By Professor Jay
Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
Professor Jay
Choir
COMPOSITION & LYRICS
Joseph Haule
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Marco Chali
Producer
Lyrics
[Verse 1]
Nakucheck, check, check kila kona
Bara mpaka pwani bado sijakuona
Moyo wangu unauma mie
Japo nikuone mi nitapona
[Verse 2]
Nimekwenda hospitali
Mbali-mbali, anadai dawa yangu ni wewe
We ndo wangu daktari
Sitapona, sitaishi tafadhali nielewe
[Verse 3]
Bado napenda kuishi bado nataka kuishi
Nionee huruma mwenzio (Eh)
Nitibu hata kwa kiss, naishi kitatanishi mpaka useme ndio (Eh)
Unavyokatika, katika zungusha, zungusha juu mpaka chini mi nabaki hoi
Unapo tingisha, tingisha binuka, binuka, back and forth mi nabaki hoi
[Verse 4]
Ma, unang'aa kistaa
Kukuona ni adimu kama nyota ya jaha
Unasifika kila kona ya mtaa
Njoo kwangu unitibu ili nipone kachaa
[Verse 5]
Dah, naahidi kukupenda cause nakupenda
Haya mawazo kuwa nitakutenda sitatenda
Twende wote popote unapokwenda
Nakiri mimi mateka na kwako nime-surrender
[Chorus]
Mtoto iko kamili gado, kamili gado
Mtoto iko kamili gado, kamili gado
Mtoto iko kamili gado
Kamili, kamili, kami, kamili, kamili gado
Mtoto iko kamili gado
Kamili, kamili, kami, kamili, Kamili gado
[Verse 6]
Watu wengi wanishangaa, kwa nini kila siku mi sina raha?
Afadhali ushinde njaa, kuliko maisha yako yakose furaha
Wana sema nimechizi, wana sema nimenock
Wana sema sema usiku wata lala
Njoo karibu nami tuwatoe nishai, wanoknock tuwatoe kafara
Furaha yangu ni wewe, maisha yangu ni wewe, fikra zangu ni wewe tuu
Ndoto yangu ni wewe, maisha yangu haya hayana na tamani bila wewe tuu
Natamani siku moja uwe nami, kwa furaha na maisha yote
Ili twende nikutambulishe nyumbani, kwa kuwa una sifa zote
Nikubali uwe wangu mwandani, siku zote na maisha yote
Mapenzi yetu yachome wapinzani, daima na milele yote
[Verse 7]
Ah, you the one and only, sina nia ya kuzingua niamini shorty
Usishangae wakinyoosha vidole
Wanadhani uko Single wabadili story
We ndo wangu wife material, uzuri na tabia zinafuta changu kilio
Ado, ado mambo bado wape kisago, mtoto upo kamili gado
[Chorus]
Mtoto iko kamili gado, kamili gado
Mtoto iko kamili gado, kamili gado
Mtoto iko kamili gado
Kamili, kamili, kami, kamili, kamili gado
Mtoto iko kamili gado
Kamili, kamili, kami, kamili, kamili gado
[Verse 8]
Usi-niache mi (Eh), usi-niache mi
Usi-niache mi (Eh), usi-niache mi
Ukiacha peke yangu na mawazo nakonda, usiache mi
Ukiniacha peke yangu na mawazo nakonda
[Chorus]
Mtoto iko kamili gado, kamili gado
Mtoto iko kamili gado, kamili gado
Mtoto iko kamili gado
Kamili, kamili, kami, kamili, kamili gado
Mtoto iko kamili gado
Kamili, kamili, kami, kamili, kamili gado
[Verse 9]
Nakupenda we, mi nakupenda wewe
Nakupenda we, mi nakupenda wewe
Nakupenda we, mi nakupenda wewe
Nakupenda we, mi nakupenda wewe
[Chorus]
Kamili, kamili, kami, kamili, kamili, gado
Kamili, kamili, kami, kamili, kamili, gado
Kamili, kamili, kami, kamili, kamili, gado
Kamili, kamili, kami, kamili, kamili, gado
Kamili, gado, kamili gado
Kamili, kamili, kami, kamili, kamili, gado
Written by: Joseph Haule