Top Songs By Jay Melody
Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
Jay Melody
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Jay Melody
Lyrics
Sharif Saidi Juma
Composer
PRODUCTION & ENGINEERING
Charles Clinton
Producer
Lyrics
[Verse 1]
Wakati we ukiwa na mimi unajishaua
Mashauzi mengi kujishebedua
Najiulizaga kwanini unasasambua
Mpaka kwa marafiki aibu
[PreChorus]
Basi niambie wewe kama nataka jina
Kwa ajili yako nafanya mwenzako nikose heshima
Vipi nikuelewe eeh au bado unapima
Maji ya shingo utaniua mama umezidi kina
[Chorus]
Unataka kiki sio? (Aah eeh)
Iyo mikogo sio (Aah eeh)
Utakuja kunifelisha mwenzako sama-han
Unataka kiki sio? (Aah eeh)
Iyo mikogo sio (Aah eeh)
Utakuja kunifelisha mwenzako
[Verse 2]
Niliamini unanifaa we ndo mamaa
Asaa iweje unapagawa na ustaa
Zuku bambataa bolingo charangaa
Nilizicheza kwenye giza kwenye taa
Ujue mi bila we nafeli (Aaah)
Ona nakonda kideli (Ooh kideli mama)
[Verse 3]
Na mambo unayofanyaga ndo yanafanya nipagawee
Ujue mi najuaga kwako niko mwenyewe
Na kumbe mazigizaga maporomoko ya mawee
Unavonifanyiaga ndo balaa
[PreChorus]
Basi niambie wewe kama nataka jina
Kwa ajili yako nafanya mwenzako nikose heshima
Vipi nikuelewe eeh au bado unapima
Maji ya shingo utaniua mama umezidi kina
[Chorus]
Unataka kiki sio? (Aah eeh)
Iyo mikogo sio (Aah eeh)
Utakuja kunifelisha mwenzako sama-han
Unataka kiki sio? (Aah eeh)
Iyo mikogo sio (Aah eeh)
Utakuja kunifelisha mwenzako
Written by: Jay Melody, Sharif Saidi Juma