Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Kassim Mganga
Kassim Mganga
Performer
Kilimanjaro Band
Kilimanjaro Band
Performer
Nyota
Nyota
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Kassim Mganga
Kassim Mganga
Songwriter
Kilimanjaro Band
Kilimanjaro Band
Songwriter
Nyota
Nyota
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Abby Dady
Abby Dady
Producer

Lyrics

Ksawe
Tanga iweza
Kabla ya kulishwa nabebwa naenda kuoga nae
Anisahulisha nisilete mwenza hapo baadae
Nimehalalisha namuomba Mola nizikwe nae
Anisahulisha nisilete mwenza hapo baadae
Kitandani kutoshidia
Tukilala anikumbatia
Ametulia Anajilia
Vinunu vya mumewe na
Anakulia ananukia ehh Ununu na rangi ahh ehh ahh ehh
Somo yake oyee oye oye
Somo wote oyeeee
Somo yake oyee oye oye
Mwali wangu oyeeee
Somo yake oyee oye oye
Somo wote oyeeee
Somo wake oyee oye oye
Mwali wetu oyeeee
Mwalifungia akizungusha mashallaah
Mpishi hodari hajui kuunguza mashallaah
Mwalifungia akizungusha mashallaah
Mpishi hodari hajui kuunguza mashallaah
Wacha nijisifu somo eeh somo wote oyee mwali wangu ooyee
Wacha nimsifu mumeo kukupata hatojutia milele ehh
Kafundwa kufundika piaaa
Niliyompa kayashikiliaaa
Mchukue mchukueni kumlea mkishindwa mrudisheni kwa somo ndani ya khanga
Mchukue mchukueni aahh!! aiya ya ya Kumlea mkishindwa aahh!!
Msugue msugueni kumsema mkichoka mpigeni kwa upande tu wa khanga
Somo yake oyee oye oye
Mwali wangu oyeeee
Somo yake oyee oye oye
Somo wote oyeeee
Somo yake oyee oye oye
Somo wote oyeeee
Anisemesha kaulitamu halailah
Leo nimekosa kesho utamu ewala
Anisemesha kaulitamu halailah
Leo nimekosa kesho utamu ewala
Somo ya mwali uko wapi nikutunze
Somo ya mwali uje kati tulisakate goma
Nipo hapa nipo hapa somo yake kibwebe najifunga tulisakate
Nipo hapa nipo hapa somo yakeeee kibwebe najifunga tulisakate goma
Tangaaa na
Kigoma
Mombasa moja
Somo na mwali kagalauke
Somo na mwali kagalauke
Nenda nae rudi nae mwali wangu kagalauke
Somo na mwali kagalauke
Somo na mwali kagalauke
Nenda nae rudi nae mwali wangu kagalauke
Somo na mwali kagalauke
Somo na mwali kagalauke
Nenda nae rudi nae mwali wangu kagalauke
Ahh bidad
Written by: Kassim Mganga, Kilimanjaro Band, Nyota
instagramSharePathic_arrow_out