Music Video

Stamina Shorwebwenzi Feat Bushoke - Machozi (Official Music Video)
Watch Stamina Shorwebwenzi Feat Bushoke - Machozi (Official Music Video) on YouTube

Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Stamina Shorwebwenzi
Stamina Shorwebwenzi
Performer
COMPOSITION & LYRICS
BONVENTURE ELIUTER KABOGO
BONVENTURE ELIUTER KABOGO
Songwriter
BEATUS NELSON
BEATUS NELSON
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
BEATUS NELSON
BEATUS NELSON
Producer
Independent artist
Independent artist
Producer
TML
TML
Producer

Lyrics

Verse1
Aliyeleta ili garika la mapenzi hana msaada/
Ukiona roho yako inasita ongeza moja ziwe saba/
Wenye mioyo mikubwa bado wapo kwa machela/
Wenye mioyo midogo ndiyo daily vifo mwaisela/
Kwani ni yupi/
Anaekupenda toka moyoni/
Harafu ukimcheki usoni macho yote yapo mfukoni/
Na ni yupi ataefanya uende motoni/
Ushamshika hadi ugoni bado unampenda haukomi/
Salaam brother adam,kwa nini ulikula tunda/
Bora ungemla hawa tusingekuwa mapunda/
Ona sasa mapenzi ya kweli hatuyajui/
Tunaishi ka kondoo kwenye zizi moja na chui/
Unaweza usimtake wa masaki kisa una hela kidogo/
Ukapata wa mbulahati na ukaibiwa na kigogo/
Yani mapenzi bwana yana uongo wa kupretend/
Unaweza kuchunwa nauli na bado ukaonyeshwa stand/
Chorus
Waleteee
Kwangu mi mshauri wa mapenzi
Wagonjwa nileteee mungu baba (aaah)
Wasameeeh
Waliotesa watu kisa penzi
Niwaombeee kwako Mungu baba
Uwasamehee
Verse2
Unateseka na mapenzi mwaka wa kumi sasa/
Moyo wako mlango kila unayempa anavunja kitasa/
Kuna muda unajiona ka unapitwa na wakati/
Mpaka supu ya pweza unainywa na chapati/
Wangapi wanapenda shape kwa msichana asiye na akili/
Uku mwenye akili shape kwake sio dili/
Ukimtaka mcha Mungu,Mungu anakupa mdangaji/
Ila cha ajabu huyo mdangaji ndiyo anakupa unavyoitaji/
Neno ma,maanisha hakuna mpenzi Zaidi ya mama/
Pe,Peleka posa pale unapozama/
Zi,akikisha basi unamuenzi milele,ataakikucheat useme yaliyopita si ndwele/
Unampenda kisa macho siku akiwa kipofu itakuwaje/
Unaempenda kisa mwendo siku akiwa kiwete itakuwaje/
Mwenye maneno matamu ukiwa kiziwi utamsikiaje/
Dah! Haya mambo bhana,nitafanyaje/
Chorus
Waleteee
Kwangu mi mshauri wa mapenzi
Wagonjwa nileteee mungu baba (aaah)
Wasameeeh
Waliotesa watu kisa penzi
Niwaombeee kwako Mungu baba
Uwasameheee…..
Hook
Roho juujuu,mapenzi kilema yani upofu tu…
Hayana madogo wala makuu
Uwe na gari au kwa miguu utaumiaaa
Yalimfanya babu akamwacha bibi
Yalimfanya juma ajione pididdy
Yalinifanya mimi nijione Zaidi
Nikahama temekeeeee…..
Chorus
Waleteee
Kwangu mi mshauri wa mapenzi
Wagonjwa nileteee mungu baba (aaah)
Wasameeeh
Waliotesa watu kisa penzi
Niwaombeee kwako Mungu baba
Uwasamehee
Written by: BEATUS NELSON, BONVENTURE ELIUTER KABOGO
instagramSharePathic_arrow_out