Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Stamina Shorwebwenzi
Stamina Shorwebwenzi
Performer
COMPOSITION & LYRICS
BONVENTURE ELIUTER KABOGO
BONVENTURE ELIUTER KABOGO
Songwriter
BEATUS NELSON
BEATUS NELSON
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
BEATUS NELSON
BEATUS NELSON
Producer
Stamina
Stamina
Producer
TML
TML
Producer

Lyrics

INTRO
Tuonane paradisooo
Tuonaneeeee paradisoooo
Tuonaneeee oooh paradisoooo
Tuonaneeeee paradisoooooo
Oooh tuonaneee
Verse1
Najua wengi mnaumia mtu akiwa hoi mautatuti/
Kila nafsi ni urimi lazima itaonja mauti/
Wengi wenu dah,mnalia kinafiki kudadeki/
Mnasahau kwamba mshahara wa dhambi haulipwagi benki /
Ndugu najua mnakuwa wengi msibani/
Ila kipindi cha uhai cha ajabu mbona hatuonani/
Moyo wangu unaniuma sana ila acha nibaki bubu/
Bora kidonda Rafiki kuliko kidonda ndugu/
Ona presenter anaongea kama ananijua /
wakati nishamwomba interview mala kibao na akazingua/
na ndio maana sikutoaga rushwa kwa dj/
nilijua tu nikifa mtapiga bure bila pay/
ushapeleka nyota yangu kwa waganga mala ngapi/
ushanisimanga kwa manano adi ukachoka kiko wapi/
binadamu aliyekamilka haya nionyeshe yuko wapi/
kama malipo duniani sema nikulipe shilingi ngapi/
mshaniteka,mkanitesa mkanifanya mnachotaka/
mshanifunga hadi jela bila hatia kisa mamlaaka/
usininyanyase aki ya nani nakwambia/
na wote mnaotembea leo nyi ni marehemu watalajiwa/
chorus
wanaolia hawahesabiki……
japo hawakunipenda zamani….
Wanafiki leo marafikiiii…..
Hawana hata haya usoniiiii eeeeeh……
Eeeeh…..eeeeehh
Wanasubiri mpaka nifeeee….
Eeeeeh….eeeeeh….
Na sifa zangu zije ziskike
Eeeeeh…..eeeeeeh
Eeeeehh…..eeeeeh
Verse2
Mmeniwekea mashada ambayo siwezi ata kuyanusa/
Jeneza la bei ghari ambalo siwezi ata kuligusa/
Mmepika adi ubwabwa ambao cwezi ata kuonja/
Wakati hamkuleta matunda kipindi nilipokuwa mgonjwa/
Rafiki wa kweli ni yupi/
Anaekunyanyua unapoanguka
Au anae akikisha anakuangusha unapoinuka/
Maana Rafiki wa karibu waliniona kama mzigo/
Wangenipa moyo inatosha sio lazima wanipe figo/
Wasanii wenzangu jau/
Nadhani mshasahau/
Nishatuma sana macover na hamkupost how/
Au mlitaka dau,leo nimekufa ndio mnapost/
Vipi Mnangoja nije nicomment au/
Boss nilifanya kazi kubwa na haukunipa mshahara wangu/
Na bado ukaona haitoshi ukatembea na mke wangu/
Ukaleta simanzi mpaka kwa Watoto wangu/
Nashangaa leo unamwaga machozi kwenye msiba wangu/
Nimeona rambi rambi ya rais/
Hivi kaileta nani/
Najua yupo busy kuwashinda kambi ya upinzani/
Ningekuwa hai ningemfanyia ata kampeni/
Kazi ya mungu haina makosa wote tuseme amen/
chorus
wanaolia hawahesabiki……
japo hawakunipenda zamani….
Wanafiki leo marafikiiii…..
Hawana hata haya usoniiiii eeeeeh……
Eeeeh…..eeeeehh
Wanasubiri mpaka nifeeee….
Eeeeeh….eeeeeh….
Na sifa zangu zije ziskike
Eeeeeh…..eeeeeeh
Eeeeehh…..eeeeeh
Hook
Bora uzikwe ukiwa hai….
Kuliko kuishi kwenye hii dunia….
Wanatamani ukatishwe uhai….
Japo usoni wanakuchekea….
Binadamuuuuuuu
Hao binadamuuuuu
Binadamuuuuuuuu
Whooowwooo ooooo…………
chorus
wanaolia hawahesabiki……
japo hawakunipenda zamani….
Wanafiki leo marafikiiii…..
Hawana hata haya usoniiiii eeeeeh……
Eeeeh…..eeeeehh
Wanasubiri mpaka nifeeee….
Eeeeeh….eeeeeh….
Na sifa zangu zije ziskike
Eeeeeh…..eeeeeeh
Ooooh binadamuuuu
Eeeeehh…..eeeeeh
Binadamuuuuu wabayaaa sanaaaaa
Outro
Malisa hao ndio binadamu aiseee
Eeeeeh….ooohooooo
Written by: BEATUS NELSON, BONVENTURE ELIUTER KABOGO
instagramSharePathic_arrow_out