Music Video

Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Stamina Shorwebwenzi
Stamina Shorwebwenzi
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Boniface Kabogo
Boniface Kabogo
Songwriter

Lyrics

Mmmm
Paradise Music
Lody Music on this one
SMG
Usije jidanganya ukampa moyo
Atauchezea
Hakuna amani minarudi kuketi
Nishuhudie wenzangu
Na nilijichanganya nikampa moyooo
Nakosa amani moyo unakwenda lazy
Nimekuja kugundua,
Mapenzi bhana
Hayana mana
Hayana mana
Hayana mana
Nimekuja kugundua, mapenzi bhana
Hayana mana
Hayana mana
Hayana mana
Nimekuja kugundua, hayana mana
Eh!
Siku ya kwanza nayaona mapenzi yalinitia hasira
Kumuona Samson anakatwa nywele na Delila
Siwezi danganywa na nyoka
Nile tunda hiyo never!
Yani kama Adam alivyo danganywa na Ever
Wanawake bwana, kuna muda sipatagi pocha
Unaweza mpa moyo na kitandani akaitaji kichwa
Mapenzi ni siri nzito ilo jificha hayana course wala shule
NAKOSA AMANI MOYO UNAENDA LAZY
NIMEKUJA KUGUNDUA, MAPENZI HAYANA
HAYANA MANA
HAYANA MANA
HAYANA MANA
NIMEKUJA KUGUNDUA, MAPENZI HAYANA
HAYANA MANA
HAYANA MANA
HAYANA MANA
NIMEKUJA KUGUNDUA, HAYANA MANA
EH! SIKU YA KWANZA NAYA ONA MAPENZI YALINITIA ASIRA
KUMUONA SAMSON ANAKATWA NYWELE NA DELILA
SIWEZI DANGANYWA NA NYOKA NILE TUNDA HIYO NEVER
YANI KAMA ADAM ALIVYO DANGANYWA NA EVER
WANAWAKE BWANA, KUNA MUDA SIPATAGI POCHA
UNAWEZA MPA MOYO NA KITANDANI AKAITAJI KICHWA
MAPENZI N'SIRI NZITO ILO JIFICHA AYANA COURSE WALA SHULE
Written by: Boniface Kabogo, Bonventure Eliuter
instagramSharePathic_arrow_out