Top Songs By Stamina Shorwebwenzi
Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
Stamina Shorwebwenzi
Performer
COMPOSITION & LYRICS
BONVENTURE ELIUTER KABOGO
Songwriter
PAUL THIMOS MWASILE
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
PAUL THIMOS MWASILE
Producer
Independent artist
Producer
TML
Producer
Lyrics
INTRO
Am everything
Shorwebwenzi on this one
Verse1
Japo natokea street ila njaa hainigangi/
Nikivuta navuta hewa sio moshi wa bangi/
Kwenyemapene sasa toa macho kama mangi/
Yani fresh from church so waganga hawanichanji/
Mnao sifia wanachana wakichana siwaelewi/
Ata nikiwageuza pombe harafu nikawanywa na silewi/
Waambieni Watoto wa mama mi mjomba sichezewi/
Sema tu ni underrated ndio maana sifa sipewi/
nikiingia booth ujue ni bad meet evil/
Kwenye show ndio master meet shivo/
Na dimbani mosimane meet pitso
Faceface ndio usiseme ni shetani meet kristo/
Hebu tel me what you see unapoiona hii sura/
Kama humwoni Pac basi check hiyo medulla
It ain’t for free men nahitaji mulla/
Hao vichwa maji wenu ndio waacheni waitaji chura/
Chorus
Iam
Mmoja tu pekee hapa duniani/
Sina copy wala chawa yani one man army/
Iam
Mtanzania mwenye ndui begani/
Harafu moro town nimeibeba kichwani/ iam
Tanga iam
Shytown iam
Singida iam
A town iam
Mbeya city iam
Dom city iam
Dar es salaam iam
Verse2
Sibishani na Watoto wanakuwa mi narap wapo chekechea/
Naweka mziki kwenye map **** take care/
Eeh/
Kunikalia mi kitako ni sawa na kubembeleza imoji ya kulia kwenye smartphone/
Ujuzi kando leo narap benefit/
Nagenerate rap ka nina map ya genetics/
Naikisha hii sauti juu ya mdundo/
Mrefu msumari ndio kisa cha mfupi kuwa nyundo/
Popote penye speaker nasikika maradufu/
Hata nikilewa sifa huwa naikata na supu/
Piga beat zote dance ama kiduku/
Kama nikishindwa chana nitatasfiri ka rufufu/
Wasichojua/
Mi jogoo la shamba/
Bila hereni wala tatoo ni maplain ya manga/
Natunga stanza we mmasai tunga shanga/
Hapa zinadunda ata kwa ndumba za kila mganga/
Mtaani kwetu wananita funga dimba/
Maaan nishalala na njaa mpaka nikaipa mimba/
Chorus
Iam
Mmoja tu pekee hapa duniani/
Sina copy wala chawa yani one man army/
Iam
Mtanzania mwenye ndui begani/
Harafu moro town nimeibeba kichwani/ iam
Mchaga iam/
Muhaya iam/
Mdigo iam/
Mnyamwezi iam/
Msukuma iam/
Mnyakyusa/
Mzaramo iam/
Verse 3
Eeh!
Na Sio masika tu/
Nitawatesa mpaka vuli/
Niite papa misifa nae watesa kama dully/
Matozi wana vibegi bila nauli/
Mwite wakala wa pesa maana nataka kutoa ushauri/
Na nikichana hawaponi mafala/
Nishawamwaga chini misiri ya mwaloni sangara/
Mi mzalendo/
Mzee wa maoni wa maoni kinana/
Na sio ganja tu navuta mpaka oni sigara/
Mziki nautoboa ka nina pini/
Mademu wa sikuhizi dangerous kwa hiyo ukiwa mzinzi kuwa makini/
Kuukataa mziki kuwa na mimi ni sawa kufanya kazi ya kuimba mapambio msikitini/
Na napopenda beef utasema mchini wa noma/
Kama ngono sio mchizi basi mchizi wa ngoma/
We mchizi wa dona
Mchizi kapona/
Ata moksi ni mchizi ila moni ndo mchizi wa roma/
Chorus
Iam
Mmoja tu pekee hapa duniani/
Sina copy wala chawa yani one man army/
Iam
Mtanzania mwenye ndui begani/
Harafu moro town nimeibeba kichwani/ iam
Solothang iam
Ngwea iam
Chidibenz iam
Fa iam
Jay mo iam
Professor iam
Outro
Mmoja tu pekee hapa duniani/
Sina copy wala chawa yani one man army/
Mtanzania mwenye ndui begani/
Harafu moro town nimeibeba kichwani/
Iam
iam
Written by: BONVENTURE ELIUTER KABOGO, PAUL THIMOS MWASILE