Top Songs By Stamina Shorwebwenzi
Credits
PERFORMING ARTISTS
Stamina Shorwebwenzi
Performer
COMPOSITION & LYRICS
BONVENTURE ELIUTER KABOGO
Songwriter
PAUL PETER MNANGE
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
PAUL PETER MNANGE
Producer
Independent artist
Producer
TML
Producer
Lyrics
VERSE 1
Stamina: Mdogo wangu ulikuwa kimya inabid niseme/
Nikizingua usione hatari inabidi uniteme/
Maarifa: Sawa tunaongelea mademu usinitajie cartoon/
Hao wengine heri nitumie sabuni/
Stamina: napenda awe mweusiiii,anae nifaaa….
Maarifa: mmh! mwanamke mweupe,Weusi uachie mkaa/
Ukisema nawatusi si sawa/
Cheupe sio maradhi japo kuwa cheusi ni dawa/
Stamina: mmh!hii haufahamu ooh!nenda/
Muone Monalisa au miriam odemba/
Ooh! ila mdogo huzijui Habari
Maarifa:mmh! Labda we bro hamjui zari/
Ila nieleweke kidogo weupe wa asili/
Sio wakajipake mkorogo/
Stamina: bora we umesema,na si utani/
Maana wengi sura mpya harafu miguu ya zamani
Chorus
Baraka: bado kichwa kina wenge..
Moyo upo kwa huyu,macho yanamtaka yule/
Hivi nani nimpende,siamini maamuzi yangu/
Bado nina wenge,
nikisema niwe na huyu macho yanamtaka yule
hivi nani nimpendee,sielewi maamuzi yangu
Verse 2
Stamina :yani fikiria daina nyange au hamisa mobeto/
Watoto wa hivi mdogo wangu nakiwasha sitoki ghetto/
Maarifa:mimi nakataa broh,no,no,no/
Ata Zaidi alisema bhana wowowowo/
Hii ni wazi,hivi haishangazi /
Yani kabisa mimi nimfate mange/
Niuache mshangazi,mfano sanchi dah/
Kiukwel hapana/
Stamina: sasa nimeamini mdogo wangu, unayapenda majimama/
Maaraifa:dah!kwa hiyo wewe unayapenda majibaba/
Stamina:utapata unachotaka ukiendelee na hii mada/
Maarifa:awe yeye,umbo la mchina sitaki anga hizi/
Maana Wengine unaweza hisi tangawizi/
Stamina:mimi nataka englishfigure easy to carry
Maarifa:mmh!kama sio ganja easy kubeli
Chorus
Baraka: bado kichwa kina wenge..
Moyo upo kwa huyu,macho yanamtaka yule/
Hivi nani nimpende,siamini maamuzi yangu/
Bado nina wenge,
nikisema niwe na huyu macho yanamtaka yule
hivi nani nimpendee,sielewi maamuzi yangu
verse 3
Maarifa: aah! nisamee vanessa linah na wengine nisamehe na lulu/
Wafupi hapana ila sijasema wanazulu
Stamina:warefu wanini mim ata akili haizuzuki/
Unakuta demu mreeefu mmh,utafikiri mkuki
Maarifa:aah!wapi bwana
Stamina: sasa utaki ama?
Maarifa:yani tausi mdegele bro na kimo cha flaviana
Harafu wana wivu,unipate vizuri akitaka kukisi adi akapande kwa stuli/
Chorus
Baraka: bado kichwa kina wenge..
Moyo upo kwa huyu,macho yanamtaka yule/
Hivi nani nimpende,siamini maamuzi yangu/
Bado nina wenge,
nikisema niwe na huyu macho yanamtaka yule
hivi nani nimpendee,sielewi maamuzi yangu
Written by: BONVENTURE ELIUTER KABOGO, PAUL PETER MNANGE