Music Video

Gari Yangu (OG)-Carlos N Tz ft Young Daresalama & Abbah Process (Official Video)
Watch Gari Yangu (OG)-Carlos N Tz ft Young Daresalama & Abbah Process (Official Video) on YouTube

Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Carlos N
Carlos N
Rap
COMPOSITION & LYRICS
Abbah
Abbah
Songwriter
Carlos ntangeki
Carlos ntangeki
Songwriter
David Genz
David Genz
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Abbah Process
Abbah Process
Producer

Lyrics

"Gari yangu" by CarlosN Tz ft Young Dee,Abbah
Beti No.1(CarlosN Tz)
Ah...CarlosN Tz..
Eyo ni kwa mziki, "kwa biti", thabiti "na mic"
Wacha niiongelee mkoko wangu mimi "kwa dhati"
Siujutii,"sijiskii",siusifii una"impact" naupenda nautumia "kwenye zangu nyingi project"
Naupenda sana jinsi "ambavyo mi "unaniprotect",260 "speed yake zaidi ya "baruti",
Suzuki "Maruti",Fiat,"Renault", zote haziikuti "nduki lake kama Bugatti" vruum
Huikamatii,"haikamatwi",hata na "matrafiki"
Maana muonekano wa nje kama gari ya "Escort",Nyeusi Tii,"Tint tii",Mzikiii "hausikikii"
Ukiacha mlango wazi "kiki lake kubwa kikikii"
Inamwendo,"urembo" na ulimbo kwa "warembo"
Na mtaani ndio maarufu kama Firstblood "ya Rambo",Kwaskendo "Magendo" na kubwa yake nembo"ni maduaraduara ma 4" lazima tu utageuza shingo
Ukitaka kuwa na gari yapaswa anasa kuzikana,"sio rahisi kama birthday" ukiwa na keki tu "unafanya" na hata kama hauna we mpe Mungu kila jambo "kama alarm ndio inakuamsha" itege mochwari uone mambo Yeah!
Kiitikio (Abbah)
Ukiona gari kali hujawahi kuiona basi ujue hii ndio gari yangu
Yenye mziki mkali ikipita utaguna bezi lake hii ndio gari yangu
Nasema oweee ah ah gari yangu×4
Beti No.2 (Young Dee)
We unaita Volkswagen mi naita Vimba Wewe, ukipanda funga mkanda kisha anza kulinga wewe,(hehe) speed ya mwewe ila nafika hapo mbele tu,so iconic Dar nzima iko yenyewe "Yeah" siyo ya mkopo,siyo baba ni ya kwangu wacha waseme nanyodo broo nimeipata kwa tabu, ma snitch wanatia adabu, wakiona naingia club jinsi imetulia parking basi inavutia ajabu "yeah" Bei ya rims tu inanunua vitz sa nkikupa bei ya mziki utaniona chizi,polisi wakiisimamisha wanaomba hadi kupiga picha "PIGA PICHA BABA UENDE UKAVIMBE INSTA" haa! Geji haishuki vioo juu, hamna kupanda mamluki watu poapoa tu, na uswazi hunikuti sitaki roho juu wasije kukwangua rangi hawajui bei juuu.
Rudia kiitikio (Abbah)
Daraja: (Abbah)
Minaipenda gari yangu,vile ikipata hitilafu mi nachachawa,kibubu changuu nitapasua mi nikaitibu ipate dawa,kama mwendo kasi nikanyage mafuta sina wasiwasi yeah..shida mi sitaki niko nagari naenda na wakati
Owee ah ah gari yangu×4
Written by: Abbah, Carlos ntangeki, David Genz
instagramSharePathic_arrow_out