album cover
Nikipata Pesa
6,911
Afro-Beat
Nikipata Pesa was released on December 20, 2024 by Fe Tanzania as a part of the album Nikipata Pesa - Single
album cover
Most Popular
Past 7 Days
00:35 - 00:50
Nikipata Pesa was discovered most frequently at around 35 seconds into the song during the past week
00:00
00:10
00:35
01:20
02:20
00:00
02:48

Music Video

Music Video

Credits

PERFORMING ARTISTS
Xouh
Xouh
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Ramadhan Daniel
Ramadhan Daniel
Songwriter
Zulfa Mohamed Ibrahim
Zulfa Mohamed Ibrahim
Songwriter

Lyrics

Siku sio nyingi natoboa
Mimi Najiona nafanikiwa soon
Wasionipenda itawaboa
Nawaona watavyokunywa sumu
Utapata taabu kama huna picha na mimi
Ukiniongelea watu utawaonesha nini
Wakati na hustle we si unanichukulia baridi
Michongo ikitiki nikipata pesa usiniite freemason
Nikipata pesa
Nikipata pesa
Nikipata pesa
Nikipata pesa
Nikipata pesa nitanunua magari
Nikipata pesa nitanunua bahari
Nikipata pesa nitaita waandishi wa habari
Wanifate fate kila mahali
Nikipata pesa rafiki yangu nachagua yoyote
Nikipata pesa rafiki zangu kina dangote
Utapata taabu kama huna picha na mimi
Ukiniongelea watu utawaonesha nini
Wakati na hustle we si unanichukulia baridi
Michongo ikitiki nikipata pesa usiniite freemason
Nikipata pesa
Nikipata pesa
Nikipata pesa
Nikipata pesa
Written by: Ramadhan Daniel, Zulfa Mohamed Ibrahim
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...