Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Beka Flavour
Beka Flavour
Performer
Bakari Abdu
Bakari Abdu
Lead Vocals
COMPOSITION & LYRICS
Beka Flavour
Beka Flavour
Songwriter
Bakari Abdu
Bakari Abdu
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Mafia
Mafia
Producer
T Touch
T Touch
Producer

Lyrics

[Verse 1]
In love, in love, in love, in love
In love, in love
[Verse 2]
Najinenepea Sasa kibonge
Haba unazonipa kwanini nikonde
Walai acha waone donge
Tunavyopendana hatuna mawenge
[Verse 3]
Penzi unalonipa la kisultani
Kuna muda nahisi niko peponi, eh!
Kumbe niko duniani
Wanipa raha zinazozidi kifaani
[Verse 4]
Nakupandisha dau kuanzia leo
Huba unalonipa Kama la kwenye video
Bonge la Toto, siyo kimbeo
Ukiniita naitika Jana na leo, my love
[Verse 5]
Hatupang'ani Kama fungu ya nyanya
Mimi na beby wangu tunapendana
Real love hatuna Mambo ya drama
Aahi! Tunaanza fanana
[Verse 6]
In love, in love, tumezama kabisa
In love, in love, tumezama kabisa
In love, in love, tumezama kabisa
In love, in love, tumezama kabisa
[Verse 7]
In love
In love, in love, in love
[Verse 8]
I love you, baby
You drive me crazy
Give it to me, give it to you, anything, am ready
Sounds amazing to have my baby
Look at me and look at you, see how we matching
[Verse 9]
Kweli umenibamba Moja ya kona
You gonna kill me slowly
Sina haja ya kudanga, mapenzi ya kitanga
Unanipa na enjoy
[Verse 10]
Nakupandisha dau kuanzia leo
Huba unalonipa Kama la kwenye video
Bonge la Toto, siyo kimbeo
Ukiniita naitika Jana na leo, my love
[Verse 11]
Hatupang'ani Kama fungu ya nyanya
Mimi na beby wangu tunapendana
Real love hatuna Mambo ya drama
Aahi! Tunaanza fanana
[Verse 12]
In love, in love, tumezama kabisa
In love, in love, tumezama kabisa
In love, in love, tumezama kabisa
In love, in love, tumezama kabisa
[Verse 13]
In love, in love, in love, in love
In love, in love, in love, in love (Tumezama kabisa, tumezama kabisa)
[Verse 14]
Tumezama kabisa, tumezama kabisa
Tumezama kabisa, tumezama kabisa
Tumezama kabisa, tumezama kabisa
Written by: Bakari Abdu, Beka Flavour
instagramSharePathic_arrow_out