Music Video

Dully Sykes Ft Harmonize - Kadamshi (Official Video)
Watch Dully Sykes Ft Harmonize - Kadamshi (Official Video) on YouTube

Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Dully Sykes
Dully Sykes
Performer
Harmonize
Harmonize
Vocals
COMPOSITION & LYRICS
Abdul Sykes
Abdul Sykes
Songwriter
Rajab Abdul Kahali
Rajab Abdul Kahali
Songwriter

Lyrics

Kamependeza kupitiliza, wanasemaga kadamshi
Akicheza ananimaliza, hadi nang'ata matamshi

Singida Dodoma mma, mma, mma, mma, mma
Mtwara na Kigoma mma, mma, mma, mma, mma

Pande za nyumbani, wanajuaga bebe ni nani
Akipita anatingisha, wangu toka zamani, kanzu tobo kama zidan, chenga nyingi ntafungisha
Kanawaka gizani, na kabaka tabaka mezani, kote-kote napigisha, baby watagwan
Katoto ketu kapo njiani, uhakika miezi tisa
Ohoo oh eh
Wakinichaguzi nichune, tena ringa kidogo
Ohoo oh eh
Wapiga miluzi wanune, ongeza mbwembwe mikogo

Ambia miluzi wanune
Kamependeza kupitiliza, wanasemaga kadamshi
Akicheza ananimaliza, hadi nang'ata matamshi
Kamependeza kupitiliza, wanasemaga kadamshi
Akicheza ananimaliza, hadi nang'ata matamshi
Singida Dodoma mma, mma, mma, mma, mma
Mtwara na Kigoma mma, mma, mma, mma, mma
Singida Dodoma mma, mma, mma, mma, mma
Mtwara na Kigoma mma, mma, mma, mma, mma
Nyuka upendeze, vunja kabati
Inuka na ucheze wakuone wachat
Lala kifuani baby deka, uskie moyo wangu vile unavyoteta
Nikikupa mambo flani unaacheka, kasauti kachumbani unaabweka

So let me say
Ohoo ah ehee
Wakinichaguzi nichune, tena ringa kidogo
Ohoo ah ehee
Wapiga miluzi wanune, ongeza mbwembwe mikogo
Ohoo ah ehee
Wakinichaguzi nichune, tena ringa kidogo
Ohoo ah ehee
Wapiga miluzi wanune
Kamependeza kupitiliza, wanasemaga kadamshi
Akicheza ananimaliza, hadi nang'ata matamshi
Kamependeza kupitiliza, wanasemaga kadamshi
Akicheza ananimaliza, hadi nang'ata matamshi
Singida Dodoma mma, mma, mma, mma, mma
Mtwara na Kigoma mma, mma, mma, mma, mma
Singida Dodoma mma, mma, mma, mma, mma
Mtwara na Kigoma mma, mma, mma, mma, mma
Written by: Abdul Sykes, Rajab Abdul Kahali
instagramSharePathic_arrow_out