Featured In
Similar Songs
Lyrics
[Verse 1]
Umenitesa roho, ni kweli sio masihara
Kutwa nahuzunika lonely, nikawa kama fala
Nilijipa moyo, mbona nitafuna
Penzi donda ndugu kwangu sugu, kufutika never
[Verse 2]
Sasa umeona urudi tena
Unaomba msamaha kurudiana
Sasa umeona urudi tena
Unaomba msamaha kurudiana
[Chorus]
Nasema sitaki tena (Tena)
Mi sitaki tena (Tena)
Kurudi ya nyuma (Tena)
Ooh sitaki tena (Tena)
[Chorus]
Sasa umeona (Tena)
Mi sitaki tena (Tena)
Kurudi ya nyuma (Tena)
Ooh sitaki tena, oh sitaki tena
[Verse 3]
Ukawa unanishow mapenzi toka China
Tena una mengi majina eti love designer
Wanakuita designer unavyojua kushona
Unavyoringa kama nyuzi ya shanga, ukitikisha nyonga
[PreChorus]
Sasa umeona urudi tena
Unaomba msamaha kurudiana
Sasa umeona urudi tena
Unaomba msamaha kurudiana
[Chorus]
Nasema sitaki tena (Tena)
Mi sitaki tena (Tena)
Kurudi ya nyuma (Tena)
Ooh sitaki tena (Tena)
[Chorus]
Sasa umeona (Tena)
Mi sitaki tena (Tena)
Kurudi ya nyuma (Tena)
Ooh sitaki tena, oh sitaki tena
[Chorus]
Nasema sitaki tena (Tena)
Mi sitaki tena (Tena)
Kurudi ya nyuma (Tena)
Ooh sitaki tena (Tena)
[Chorus]
Sasa umeona (Tena)
Mi sitaki tena (Tena)
Kurudi ya nyuma (Tena)
Ooh sitaki tena, oh sitaki tena
Written by: Alikiba