Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
Lava Lava
Lead Vocals
COMPOSITION & LYRICS
Lava Lava
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Manster Madness
Producer
Lyrics
Nahisi-nahisi dunia imenihadaa, na uogaa
Ibilisi-ibilisi, kichwani amenijaa natamani kukurogaa
Wa kunisifia sina maji yamenizid kina ona nazama nani aniokoee
Kabisa umekata shina umenitosa mazima umemwaga na mtama kuku waudonoee
Sisikii la mwadhini wala la mnadi swala juu yako wewee
Na sijutii mangapi tulifanya gizani walaa shaka uondoee, ila naijutia
Tattoo-tattoo, (Niliyokuchora tattoo) tattoo tatoo
Mwilini mwangu (Tattoo-tattoo), ila hukuchora tattoo (Tattoo-tattoo)
Eh leo imekula kwangu
Mi macho yangu hayana pazia, hayana, ningefanya kwa siri, nisionwe
Ingira pasia bora ungeniambia bayana sio kunikatili, nisonone
Mvuvi kanyimwa ngarawa, mgonjwa katapishwa dawa, vipi apone
Moyo na nafsi umeigawa, ndege umeivunja mbawa, huruma nione
Sisikii la mwadhini wala la mnadi swala juu yako wewee
Na sijutii mangapi tulifanya gizani walaa shaka uondoee, ila naijutia
Tattoo-tattoo, (Niliyokuchora tattoo) tattoo-tatoo
Mwilini mwangu (Tattoo-tattoo), ila hukuchora tattoo (Tattoo-tattoo)
Eh leo imekula kwangu
Written by: Lava Lava