Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
Haitham Kim
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Haitham Ghazal Seif
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Spesso
Producer
Lyrics
Yoh
Say
Naiwa Mangi ii
Onaa ah
Kwanza nianze nikusifie
(Ooh baby we)
(Oh baby we)
Na ulivyo sawa
Kama umejiumba mwenyewe
Eeh
Umewazidi wenyewe
Kwanza hotoki bila sababu
(Ayaayaaa)
Unawapa tabu,
Wanapenda kukuona
(Ayaayaaa)
Wanapenda kukuona
Aah
Penzi ooh penzi
Aah
Kipindi kipo hewani radio
Siwezi ooh siwezi
Aah
Kuki kosakosa
Warida Waridadi
Ushanipa mi midadi
Penzi ngurumo ya radi
Iiii oyee yee yeah
Panapo Kosa basi ni judge
Maana mlenda wake magadi
Naogopa kutapa
Kama mfa maji
Iiii
Oh na na na yee eh
Basi Usije ukaniumiza
(Ukaniumiza)
Ukaja nawe danganyika
(Danganyika)
Basi Usije ukaniumiza ahh
(Ukaniumiza)
Ukaja nawe danganyika
(Danganyika)
Lody Music on this one!
Nakiri kwenye moyo
We pekee ndio upo ndani
Na kama kuna matatizo
Nielekeze hatushindani
Si wanasema penzi jela
Niko radhi uniweke ndani
Usije ukanipa likizo
Kisa maneno ya majirani
Najua ulishatendwa huko nyuma
Usikumbushe nitalia
Aah
Kwangu utapata mapenzi
Sijasomea ubondia
Mwenzako sipendi kuona ukinuna
Na ndio maana nakutania
Mmh
Kwangu mwendo wa makange
Sikulishi nguna bamia
Mmmh mmh mmh
Warida Waridadi
Ushanipa mi midadi
Penzi ngurumo ya radi
Panapo Kosa basi ni judge
Maana mlenda wake magadi
Naogopa kutapa
Kama mfa maji
Basi Usije ukaniumiza
(Ukaniumiza)
Ukaja nawe danganyika
(Danganyika)
Basi Usije ukaniumiza ahh
(Ukaniumiza)
Ukaja nawe danganyika
(Danganyika)
Ayaa yaa ya
Ayaa yaa ya
Ayaa yaa ya
Gopa Beatz
Written by: Haitham Ghazal Seif, Haitham Kim