Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
Lava Lava
Lead Vocals
COMPOSITION & LYRICS
Lava Lava
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Lizer Classic
Producer
Nusder Venom
Producer
Lyrics
Nenda mwambieni aliniacha hohehaee, zimfikie salamu
Sasa nala pensheni kuchikuchi hotae, nishapata kinyama cha hamu
Waala tusingefika mbal nliona dalili, bora kila mtu kivyake
Waala mapenzi si ujabarii asikalili, akadhani yuko pekeyake
Sasa niko huru staki kusuffer, nanenepa nina nuru bila maafa
Wale madege makunguru walinichachafya, mambo yakawa vururu, nikahama Tarafa
(Saasa) Najidai, najidai, nimempata mpenzi
(Ooh saasa) Najidai, najidai, nimepata mtetezi
(Mii Siina) Sina wasiwasi nanenepeana, zawauma roho
(Ooh Sina) Mahaba ya mwendo kasi, si twapeana wachafukwe roho
(Mii Siina) Sina wasiwasi nanenepeana, zawauma roho
(Mwenzenu sina) Mahaba yamwendo kasi, si twapeana wachafukwe roho
Naweka wazi bila kwikwi hadharani nanena mnisikiee
Mbona mtachonga viazi, wanafiki mkikesha kusema ya kwetu sie
Mi na yeye mpaka parapanda neng'enekeni, karogeni mshinde kwa waganga
Nazi vunjeni, kazaneeni endeleni kuchamba yote semeeni semeeni, ila mtaisoma namba
Sasa niko huru staki kusuffer, nanenepa nina nuru bila maafa
Wale madege makunguru walinichachafya, mambo yakawa vururu, nikahama Tarafa
(Saasa) Najidai, najidai, nimempata mpenzi
(Ooh saasa) Najidai, najidai, nimepata mtetezi
(Mii Siina) Sina wasiwasi nanenepeana, zawauma roho
(Ooh Sina) Mahaba ya mwendo kasi, si twapeana wachafukwe roho
(Mii Siina) Sina wasiwasi nanenepeana, zawauma roho
(Mwenzenu sina) Mahaba yamwendo kasi, si twapeana wachafukwe roho
(Wenyewe twajinafasi), hatutaki ushambe, -tutaki ushambenga
(Twajimwayamwaya), hatutaki ushambe, -tutaki ushambenga
(Komeni wenye roho mbaya), hatutaki ushambe, 'tutaki ushambenga
(Mahasidi wanaizaya), hatutaki ushambenga, 'tutaki ushambenga
Mbona wanagwayagwayaa
Written by: Lava Lava