Top Songs By Diamond Platnumz
Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
Diamond Platnumz
Vocals
COMPOSITION & LYRICS
Nasibu Abdul Juma Issaack
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Lizer Classic
Producer
Lyrics
[Verse 1]
Upendo ni burudani
Ila kwangu imekuwa karaha
Nacheka nje ila ndani
Moyoni mna majeraha (Majeraha)
[Verse 2]
Mmh-mmh, siku hizi hata hanidekezi
Kawa mbabe mashine
Yamepungua mapenzi
Sijui kampata mwingine
[Chorus]
Overdose, overdo- na ashanioverdose (Overdose)
Overdose, overdo- na amenioverdose (Overdose)
[Bridge]
Ooh-ooh-ooh
Ooh-ooh-ooh
Ooh-ooh-ooh
Ooh-ooh-ooh
Ooh-ooh-ooh
Ooh-ooh-ooh
[Verse 3]
Kitu kidogo lazima tulumbane
Simu vinamba tublockiane
Najitahidi jishusha tusikwazane
Kosa si kosa ataka tuachane, mmh-mmh
[Verse 4]
Ndio maana unaniona
Kutwa mnyonge nasonona
Ila najitahidi mbona
Upendo mnara hautaki soma
[Verse 5]
Mmh-mmh
Siku hizi hata haniogeshi
Najiogesha mwenyewe
Vya utani hata hacheki
Najichekesha mwenyewe
[Chorus]
Overdose, overdo- na ashanioverdose (Overdose)
Overdose, overdo- na amenioverdose (Overdose)
[Outro]
Ooh-ooh-ooh
Ooh-ooh-ooh
Ooh-ooh-ooh
Ooh-ooh-ooh
Ooh-ooh-ooh
Ooh-ooh-ooh
Written by: Nasibu Abdul Juma Issaack