Music Video

Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Aslay
Aslay
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Aslay
Aslay
Composer
PRODUCTION & ENGINEERING
Zest Daud
Zest Daud
Producer

Lyrics

Baby nipe nkatumie, nisipo deka kwako nikadeke wapi mie
Nataka gari uninulie, nataka pamba kali nipendeze na mimi wanisifie
Mi kitandani fundi, nafanya unalia kama bundi, huo wivu wako si pendi, nipe pesa mi nikale tungi
Nakufundisha mapenzi japo una umri wa shangazi, nakudatisha kichizi mpaka mumeo unamuona makuzi
Napata-pata vitisho nikiwa kitaani, mumeo anataka kuniua eti kisa nini
Kumbuka nina mwili wa mapenzi sina mwili wa ngumi, ila akitaka ndondi aende ulingoni, badae
Nibebe kwa mbeleko kama mtotoo (Kama mtoto), nipe pesa nikupe ukitakacho
Nibebe kwa mbeleko kama mtotoo (Kama mtoto), nipe pesa nikupe ukitakacho
Oiyee, mama anataka pesa hana,aa aliniomba toka jana anataka sare aende zake kwenye ngoma
Basi mpe, siumependa boga penda na ua lake, akinuna atafanya zifugwe listi zote
Napata-pata vitisho nikiwa kitaani, mumeo anataka kuniua eti kisa nini
Kumbuka nina mwili wa mapenzi sina mwili wa ngumi, ila akitaka ndondi aende ulingoni, badae
Nibebe kwa mbeleko kama mtotoo (Kama mtoto), nipe pesa nikupe ukitakacho
Nibebe kwa mbeleko kama mtotoo (Kama mtoto), nipe pesa nikupe ukitakacho
Mi ndo marioo marioo mi' ndo mario, tabibu mkubwa wa penzi lako
Mi ndo marioo oh marioo mi' ndo mario, mtabibu mkubwa wa penzi lako
Written by: Aslay, Aslay Isihaka
instagramSharePathic_arrow_out